Kauzu zaidi ya dagaa

Kuna vitabu vinakuwa na lugha mbili, ukigeuza huku may be kishwahili na upande mwngne may be kiingereza so ukiwa unasoma upande mmoja automatic kitabu kinakuwa kimegeuka kwa upande mwngne
 
Ndo alivyofundishwa (Syllabus yao iko hvyo)
 
Pia mkumbuke kitabu kinaweza kuwa cover lake lilitoka kwenye kurudisha wakaligeuza ua halikurudishiwa kabisa so ameshikiza tu bahati mbaya akaligeuza hilo cover.
 
Labda gamba lilitoka likaunganishwa tena juu chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…