Ingawa sijaiona, nina uhakika mods waliitoa haraka na hii inamaanisha wapo makini na kazi yao.....ila binafsi hiyo picha nilishaiona na sio picha nzuri kwa kiongozi au mtu yoyote ambaye ni jinsia flan then watu wakakubadilisha kwa kutumia photoshop sio kitu kizuri kabisa....i dont like the guy but i did not like the picture either...