Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe jana akiwa kwenye Uwanja wa Manyema mkoani Kilimanjaro alizindua rasmi kaulimbiu ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ambayo ni CHADEMA MWAKA 2010 HATUDANGANYIKI.
Je kauli hii imebeba matarajio halisi yanayotegemewa na wananchi waliochoshwa na utawala uliopo madarakani? Tuijadili.
Je kauli hii imebeba matarajio halisi yanayotegemewa na wananchi waliochoshwa na utawala uliopo madarakani? Tuijadili.