.... Kilimo ni Uti wa Mgongo!
... kama kuna sekta imeundiwa taasisi nyingi basi ni sekta ya kilimo!
- Naliendele Research Institute
- Chuo Kikuu cha Kilimo SUA
- Chuo Kikuu cha Kilimo Mwl. Nyerere - Musoma
- Bodi ya Mazao Mchanganyiko
- Shirika la Usagishaji la Taifa - NMC
- Bodi ya Korosho
- Bodi ya Pamba
- Bodi ya Kahawa
- Chuo cha Utafiti Uyole
- Mradi wa Jeshi wa Power Tiler
- Mamlaka ya Hifadhi ya Chakula
- Mamlaka ya Ubora wa Mbolea
- Skimu ya Umwagiliaji Rufiji
- Skimu ya Umwagiliaji Mto Kilombero
- Rufiji Basin Water Board
- Lake Victoria Basin Water Board
- Kiwanda cha Kukoboa Kahawa Moshi
- Kiwanda cha Kukoboa Kahawa Mbinga
- Tanzania Farmers Association - TFA
- Mradi wa Kilimo cha Mawese Kigoma
- Kiwanda cha Mbolea Minjingu
- Mradi wa Taifa wa Kupambana na Nzige
- Mradi wa Taifa wa Kupambana na Nguruwe Pori
- Kamati ya Taifa ya Usuluhishi Wakulima na Wafugaji
- Hanang Wheat Plantations
- West Kilimanjaro Wheat Plantations
- Bodi ya Taifa ya Sukari
- National Milling Corporation
- Mradi wa Taifa wa Kupambana na Panya Buku
- Taasisi ya Taifa ya Kudhibniti Ubora wa Mbegu
- Jeshi la Kujenga Taifa JKT
- Vyama vya Ushirika - KNCU, MCU, NCU, etc.
- Tanzania Pesticide Research Institute - TPRI
- NAFCO
- ... etc.
- ... etc.
- ... etc.
Dah! The list is countless! Kote huko waliwekwa makada; output big ZERO!
Aione:
Red Giant