Kauli zilizotrend zaidi mwaka 2017.

Kauli zilizotrend zaidi mwaka 2017.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Habari wakuu.

Mwaka ukiwa unaelekea mwisho kabisa kuna kauli au misemo iliyovuma zaidi kwa mwaka huu 2017.

Naomba tujikumbushe maneno yaliyotrend zaidi kwenye social media kwa mwaka 2017.

Mimi binafsi naanza na maneno haya, mengine bado yakiwa mabichi kabisa.

1. Expansion Joints.
2. 900 itapendeza.
3. Jaza ujazwe.
4. Niko na frastrations zangu.
5. Baadhi ya mawaziri wangu ni wapumbavu.
5. Vyeti feki.
6. Watumishi hewa.
7. Makinikia.
8. Uzalendo wa kweli.
9. Najiuzulu kumuunga rais mkono.
10. Uchochezi.

Wewe unakumbuka lipi?
 
Hv hio ya nipo na frastrution zangu, ni nani alipayuka?
 
Back
Top Bottom