Kauli za watu wa Mamlaka

Kauli za watu wa Mamlaka

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Mi Binafsi sijawai kuajiriwa, Zaidi ya Kufanya shughuri zangu mwenyewe.

Sasa Mara Nyingi huwa nakutana na Hawa watu, wa Mamlaka cha kushangaza Hawa watu Wana sisitiza na kuongea watu wajiajiri wakati wao wameajiriwa,

Ukitazama kuhusu Watoto wao nao poa hawajajiri Bali wameajiriwa, na hii kauli ya Vijana wajiajiri wanayo sana watu wa Mamlaka.

Katika Kuishi kwangu Duniani sijawai kukutana na mtu wa kawaida akanishauri kajiari, Bali anakua kimya na mipango yake, sasa, Hawa walioajiriwa ukiongea nao utasikia Jijari, hilali wao hawa jajiajiri.

Ajira za kuvaa sare nazo zipo kimchongo, ukiwasikia katika Luninga utazani watu kumbe Kuna Figisu ktk kupata kazi.

Kwa mtazamo wangu Binafsi hizi kazi wanalithishana.à

Kana baba yako, alikua anavaa sare na wewe Tegemea kuvaa sare.

Na kama baba yako Muunza mchicha wa kutembeza kitaani, na wewe tarajia kuuza mchicha..

Connection katika swala la kazi,kwa Hapa Nchi ya kufiakirika, haaa mbona sana Tu
Hii Nchi Inashangaza.
Mtu anakushauli Jiajiri wakati yeye kaajiriwa, Sasa hapo Kuna uhalisia Gani, au huyo mtu anakupa ushauri wa kujiajiri anajua Nini kuhusu kujiajiri, au anauwelewa Gani na Changamoto za kujiajiri.
 
Back
Top Bottom