Kauli za wanawake "bila mimi usingefika hapo ulipo"

Kuna mmoja aliniambia bila maombi yake nisinge fika pale na ninatembelea nyota take Hadi nikaogopa .. Cha ajabu yeye Hadi Leo Ana randaranda tu [emoji1][emoji1]

Kila nikitaka kumkumbusha kwa nn maombi yake na nyota yake kwake haifanyi kazi kwake moyo unanisita ... Ila nikionana nae naishia kucheka moyoni tu.......Hawa binadamu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…