kauli za waalimu mashuleni

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
1: Mkimaliza kuongea, niambieni niendelee kufundisha.

2: Baba yako aliuza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shuleni.

3: Kama unajua kuliko mimi, njoo
ufundishe wewe.

4: Ulikuja peke yako na utaondoka
peke yako.

5: Hata msipoelewa, mshahara
wangu uko pale pale.

6: Baba yako anahangaika kulipa
ada wewe unafanya utumbo tu.

7: Hata nikeshe nafundisha, wengine ni mizigo hawatoki na lolote.

8: Bichwa lako kubwa lipo kwa ajili ya kutenganisha masikio yako.

9: Bichwa kubwa ubongo nukta.

10: Wengine hapa wamekuja kukua tu.

Unayo nyingine? Mkumbuke mwalimu wako
 
Daah..umenikumbusha mbali sana mkuu...enzi za Tabata primary school..ticha akikuta mnapiga kelele darasani,lazima awape msemo mmoja kati ya hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…