boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Nakumbuka haya maneno
Mwanangu ukiwa na furaha usiahidi Maana utashindwa kutimiza ahadi zako furaha ikiisha, pia ukiwa na hasira usihukumu maana utakuja jutia maamuzi yako.
Muheshimiwa kauli uliyotoa ungetafakali Mara mbili, kiongozi unapomwambia kama hautaki achia Ngazi, unawapa kiburi hawa anaowaongoza na kumfanyia vitu vya makusudi, kauli uliyotoa kwa viongozi juu ya machinga ni kauli ambayo inavunja moyo kwa watendaji wako,
Leo hii kiongozi gani mwenye ujasiri wa kumtoa machinga barabarani? Kiongozi gani wa kuja kukueleza juu ya shida zinazosababishwa na machinga? Mkuu unatakiwa kufahamu mwananchi kulalamika ni kawaida yake, wanalalamika Ushuru wa parking umepamda ila gari mjini hazijapungua, Leo hii machinga wamekuwa Kero yaani wanafanya makusudi kabisa kwa sababu Raisi amesema, Barabara wamefunga, wanafanya biashara mbele ya duka la mtu na mengineyo mengi, sasa nani atalikomesha hili, swala la machinga halijaanza leo wala jana, kumbuka mkuu hawa machinga hawalipi kodi ya aina yeyote, sasa andaeni mkakati wa machinga Walipe kodi