Kauli ya waziri yadharauliwa na Tanesco Kisarawe, Pugu

gost

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
275
135
Wakata Umeme siku 2 bila taarifa kisa viwanda viwili Kamaka na kingine waleta shida kwa wananchi
 
Mnyonge mnyongeni lakini.....

Hakuna mfanyakazi wa Tanesco mwenye kutaka matatizo ya kujitakia na hasa kwa wakati huu.

Waziri anaongea kwa utashi wa kisiasa tu, kiufundi(na hapa nazungumzia fundi wa field na sio PAPER engineers) kama kuna Fault kwenye transmission line, distribution network, operation manager au protection engineer hawezi kuwa mtabiri hapo, kama ni hilo li-Grid lenu litadondoka mzinga ukiwa wa maana.

Mfano kipindi kile power cable inayolisha visiwani 132kV ilipancha, ingekuwa kipindi hiki si wafanyakazi wote wangetimuliwa?

Same applies kwa substations, inawezekana mteja mkubwa kasababisha tatizo, mafundi wapo ila SPARE PARTS hamna, hapo mtalala giz tu hata milele......wafanyakazi wafanyaje?
 
Mkuu mbona hizo pancha? Sijui cable default hazikwepo kipindi cha Prof. Muhongo?
 
Mkuu, TANESCO ni Shida, Huduma zao ni mbovu hakuna mfano, Huduma zilizojaa urasimu, rushwa, uzembe na kila aina ya ubovu. Wasitafute kisingizio. Mheshimiwa waziri washughulikie tu. Ufumbuzi wa kudumu ni kulivunja shirika hili katika vipande vitatu.. Production, Distribution na revenue.
 
Mnyonge mnyongeni lakini.....

Hakuna mfanyakazi wa Tanesco mwenye kutaka matatizo ya kujitakia na hasa kwa wakati huu.

Waziri anaongea kwa utashi wa kisiasa tu, kiufundi(na hapa nazungumzia fundi wa field na sio PAPER engineers) kama kuna Fault kwenye transmission line, distribution network, operation manager au protection engineer hawezi kuwa mtabiri hapo, kama ni hilo li-Grid lenu litadondoka mzinga ukiwa wa maana.

Mfano kipindi kile power cable inayolisha visiwani 132kV ilipancha, ingekuwa kipindi hiki si wafanyakazi wote wangetimuliwa?

Same applies kwa substations, inawezekana mteja mkubwa kasababisha tatizo, mafundi wapo ila SPARE PARTS hamna, hapo mtalala giz tu hata milele......wafanyakazi wafanyaje?
Tanesco Kisarawe Ni tatizo kubwa. Hawa watu hawajitumi kbs kwa hiyo hata wakifukizwa kwa dhulma inakuwa malipo kutokana na uzembe wao. Watu wanashindwa kuwaunganishia Umeme wateja waliolipia huduma kwa kipindi zaidi ya miezi sita. Wanachoangalia Ni rushes Tu. Hayo Ni malipo ya dhulma na uzembe wenu.
 
Mnyonge mnyongeni lakini.....

Hakuna mfanyakazi wa Tanesco mwenye kutaka matatizo ya kujitakia na hasa kwa wakati huu.

Waziri anaongea kwa utashi wa kisiasa tu, kiufundi(na hapa nazungumzia fundi wa field na sio PAPER engineers) kama kuna Fault kwenye transmission line, distribution network, operation manager au protection engineer hawezi kuwa mtabiri hapo, kama ni hilo li-Grid lenu litadondoka mzinga ukiwa wa maana.

Mfano kipindi kile power cable inayolisha visiwani 132kV ilipancha, ingekuwa kipindi hiki si wafanyakazi wote wangetimuliwa?

Same applies kwa substations, inawezekana mteja mkubwa kasababisha tatizo, mafundi wapo ila SPARE PARTS hamna, hapo mtalala giz tu hata milele......wafanyakazi wafanyaje?
Kwa nn wasiwe na spare parts?
 
Acha kutetea ujinga mfano pale Kamaka pugu kiwandani hakuna Fundi na wana tanesco wana jua full kuleta shoti na kusumbua wana nchi na kama hawana uwezo wa kuhudumia kiwanda na wana nchi si wakate hapo kiwandani Sisi ma elfu tunao lipa Hela zetu kihalali na sio rushwa tusi sumbuke
 
Nyie wa kisarawe mngehamishiwa kigamboni msingestahimili kukaa hata kwa robo saa....
 
Back
Top Bottom