Kauli ya Sumaye iliyokataliwa na wana Monduli!!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Wanasema kazi ya kusema uongo inahitaji kumbukumbu nyingi na za hali ya juu.

Unapoamua kusema uongo ni lazima ukumbuke yaliyopita,yale unayoyasema na unayohisi utayasema hapo baadae.

Sumaye ni muongo-hii ni kauli ya Makongoro Nyerere ambayo nakubaliana nayo kwa asilimia 100.

Pia kauli hii ya Makongoro imeanza kueleweka vizuri sana kule umasaini Monduli.

Wamasai wanajiuliza swali moja muhimu kwamba Sumaye anaposema ccm haijafanya kitu anamaanisha hata kijana wao Edward Moringe Sokoine morani wa ukweli hakuifanyia nchi hii chochote cha maana??

Hapa ndipo wana wa Monduli wanapokataa usanii wa genge hili la wahuni.
 
Magufuli katika ubora wake

Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Karangalala tayari kuhutubia wakazi wa Geita mjini.​

Umati ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala,Geita mjini.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Geita mjini kwenye uwanja wa Karangalala ambapo aliwaeleza wakazi wa mji huo kuwa atahakikisha viwanda vinajengwa , wacimbaji wadogo wadogo wanapata maeneo ya kuchimba, ataboresha maslahi ya wafanyakazi , kuhakikisha madawa na huduma za afya zinakuwa bora zaidi na elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne​
 
Mkuu hii kitu iweke kwenye ile thread ya kampeni za magufuli.
Jamaa wametukana mpaka wameishiwa matusi.
 
Wanasema kazi ya kusema uongo inahitaji kumbukumbu nyingi na za hali ya juu.

Unapoamua kusema uongo ni lazima ukumbuke yaliyopita,yale unayoyasema na unayohisi utayasema hapo baadae.

Sumaye ni muongo-hii ni kauli ya Makongoro Nyerere ambayo nakubaliana nayo kwa asilimia 100.

Pia kauli hii ya Makongoro imeanza kueleweka vizuri sana kule umasaini Monduli.

Wamasai wanajiuliza swali moja muhimu kwamba Sumaye anaposema ccm haijafanya kitu anamaanisha hata kijana wao Edward Moringe Sokoine morani wa ukweli hakuifanyia nchi hii chochote cha maana??

Hapa ndipo wana wa Monduli wanapokataa usanii wa genge hili la wahuni.

Pumba tupu na wale sijui wazanak wa mwalimu nyerere wasemeji kunywa chai kwanza njaa nayo inasababisha hiz mambo.
 
kama ccm haijafanya kitu ni pamoja na mbunge wao wa monduli ambaye sasa anataka urais ili aondolee umasikini watanzania alioshindwa kuwaondolea monduli
 
Ndele likikubali basi mhanga huwa hajitambui. Lakini na ndele zote alizofundishwa na bwana mahaba, Roho Mtakatifu anaendelea kuzitibua akibadilisha uteka siku baada ya siku. Kwa wasiojua; ndele ni dawa ya mahaba wanayoitumia waganga ili mtu kuvutika kwa mtu mwingine bila utashi wake. inaweza kupulizwa hewani au kupakawa kwenye kitu chochote na mhanga akikumbana nacho ndo anakuwa ktkt mahaba mazito. hatambui wala hasikii. Hilo sisi wacha Yahu tunalishughulikia Ni uchawi m-baya sana. Haleluyahu
 
Naona utitili wa mnao wasomba kwa malori unawadanganya,badala ya hoja mnajaza mapicha poleni.
 
Hata Sumaye mwenyewe kwahiyo anakubali wakati wake hakufanya kitu ..wameishiwa hawa matapeli wana udini
 
Back
Top Bottom