colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,438
- 2,929
Hata mm mkuu ,ilinichukua two years ku move on but now nimeowa mke wa ndoto znguHuyo kapata jamaa mwngne....mshikaji its time to move on with life...mm niliwah achwa namna kama hyo,my life was a mess for sometimes but nilijiapiza sitajiingiza kwenye tabia hatarishi kama kunywa mipombe n.k....mwaka mmoja ukapita na saiv nmempata binti mmoja mrembo kulko yule wa awali na maisha yanasonga polepole...hata ikitokea huyu akaniacha I move on.....be in love with someone who is proud to have u....