Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,289
- 1,126
Simple!....wanawake wako tofauti na sisi wanaweza kumpenda MTU siku moja na kwa hisia Kali na akaamua kumuacha MTU wake siku hiyohiyo!...wakati wanaume anaweza kupata demu mpya lakini akaendelea na demu was zamani hata miezi akimuacha taratiibu!...huyo binti kakutana na mwanaume na kumpenda ghafla na anaona ndo mwanaume was maisha yake japokuwa inaweza kuwa "illusion".... Au ndo love triangle! Jamaa anampenda binti,binti anampenda jamaa mpya, na jamaa mpya anampenda demu mwingine!