KAULI YA SINA HISIA NA WEWE INAMLIZA

KAULI YA SINA HISIA NA WEWE INAMLIZA

Write your reply...daaaahh tayari wajanja wamesha mgongea demu wake huyo".... mbaya zaidi wana muhonga na kumfikisha kibo".... Mwambie huyo ndugu yako "Aachane na huyo demu" hakuna hatari mbaya kama mwanamke akikwambia Muachane then umlazimishe kuwa nae'' anaweza kurudi kwako".... lakini ujiandae kwa kifuatacho ITV
 
Mi nahisi wewe ndo muhusika,yan namaanisha mtu aliyeachwa ni wewe[emoji4] , kuwaga muwazi tu vitu vya kawaida hivi kutokea ktk mahusiano
Haya ni mimi unanisaidiaje sasa
 
Huenda ndio anajifunza kupenda na kuacha ila kwa sisi magwiji hata haitupu shida
 
Huyo jamaa yako asonge mbele ampotezee huyo bibie b'coz when you go back to someone who mistreated you, you’re cheating yourself out of an opportunity to be with someone who will always consider your feelings.
 
Habari zenu mahala hapa.

Huku kwetu si salama sana,ndugu yangu ana hali mbaya sana msaada tafadhali .

Twende kwenye mada.Nina rafiki yangu ambaye kiukweli naweza muita ndugu yangu au pacha kama tunavyoitana.

Mwishoni mwa mwaka jana tulirudi nyumban kusherekea christmass na mwaka mpya,rafiki yangu akaanzisha mahusiano na binti mmoja wa mtaani hapo hapo ila kiumri tulimzidi.(kwakweli tulivyokaacha na sasa ni hatari tupu).kwa bahati nzuri huyo binti nae anaishi dar ambako rafiki yangu anaishi.

Kwakweli penzi lilikua moto na kule nyumbani walitambulishana kwa ndugu na marafiki japo sio rasmi.badae likizo ikaisha na wote tukarud dar huku penzi lao likiwa fresh kabisa

Miezi yote hiyo hakukua na tatizo.ila mwanzoni mwa mwezi huu Binti alipata safari ya kwenda iringa kwa shangazi yake.kabla hajaenda ikabidi apite kwa mshikaji kisha aendelee na safari.

Alikaa kwa mshikaji siku tatu kisha akaendelea na safari.baada ya kufika huko sasa ndipo ndugu yangu alipopata shambulio la gafla.

Binti akamtumia ujumbe ndugu yangu kuwa alipokaa kwake siku tatu ndugu zake walijua hivyo wamemsema sana na yeye kaamua ni bora avunje mahusiano.

Baada ya kumbembeleza kwamba asimuache ila waliweke sawa hili suala.ndipo binti akamwambia KWA SASA NMECHOKA SIWEZI KUENDELEA NA WEWE PIA KWA SASA SINA HISIA NA WEWE.

jamaa yangu leo ni siku ya tatu anashinda ndani ,akitoka analewa .nmejaribu kuongea na binti kakaza ,dada yake na mshikaji kaongea na binti bado kamkazia .maajabu ni kwamba kila muda binti simu jamaa.juzi binti karudi dar na jamaa ikabidi akaongee nae face to face lakin wapi.binti anasisitiza kuwa anampenda jamaaa na anaumia kumuacha lakini moyo wake hauwezi kuendelea na jamaa.hiyo siku waliogea hadi binti analia lkn hatengui maamuzi yake.

Wana MMU tafadhali nipeni mbinu nikamsaidie ndugu yangu maana hali yake sio nzuri .
Ushauri upi mkuu labda wa kuweza kumsahau huyo dada ama ushauri wa kuweza kumrudisha huyo dada abaki kuwa upande wake?... Labda tuanzie hapa.

Hakuna ushauri utakaomfaa ili kuwa kama alivyokuwa mwanzo ikiwa...

1.Hajiamini
Hapa anajiona hawezi na hatafanya chochote pasina kuwa na huyo mwanamke.

2.Haijuwi thamani yake.
Hajuwi kuwa yeye ni wa thamani na muhimu zaidi hasa linapokuja suala la kuilinganisha thamani yake na yule asiyeijuwa thamani yake.

3.Habadiliki kutokana na mazingira.
Unapopendwa kuna raha hasa mkipendana kwa dhati ila inapogeuka haupendwi nawe unapaswa ubadilike usibaki kuwa yule yule uliyekuwa ukipendwa mwanzo.

Mfano.....
>asipobadilika kwa fikra kwa maana ya kuwaza juu ya huyo mwanamke hatoweza kuongoka katika mateso anayoyapata.

>ama katika matendo anayoyafanya mfano kumfuatikia huyo mwanamke,kumtaka radhi huku hakuwa na kosa alilotenda.

4.Anaamini eti akishinda ndani,akikosa raha/furaha,akimlilia,akiombewa msamaha na ndugu zake,asipokula chakula eti atamfanya mwanamke kuingiwa na huruma na arudi kuwa wake tena kwa mapenzi yale yale yaliyokuwa ya mwanzo.

Ushauri kwako wewe mfanye huyo ndugu yako aitambue thamani yake hasa nilipokuja suala la kupenda ikiijuwa tu hatokuja kusumbuka tena...

kuna sehemu labda hujanielewa vizuri uliza nikufafanulie.
 
Tafuta mwingine tu hamna namna, na ukichunguza kwa makini lazima utagundua kuwa huyo dem kapata mshkaji mwingine hivyo alikua anatafuta jinsi ya kukuacha
Kwahiyo hapo maumivu yatakua yameisha
 
Ushauri upi mkuu labda wa kuweza kumsahau huyo dada ama ushauri wa kuweza kumrudisha huyo dada abaki kuwa upande wake?... Labda tuanzie hapa.

Hakuna ushauri utakaomfaa ili kuwa kama alivyokuwa mwanzo ikiwa...

1.Hajiamini
Hapa anajiona hawezi na hatafanya chochote pasina kuwa na huyo mwanamke.

2.Haijuwi thamani yake.
Hajuwi kuwa yeye ni wa thamani na muhimu zaidi hasa linapokuja suala la kuilinganisha thamani yake na yule asiyeijuwa thamani yake.

3.Habadiliki kutokana na mazingira.
Unapopendwa kuna raha hasa mkipendana kwa dhati ila inapogeuka haupendwi nawe unapaswa ubadilike usibaki kuwa yule yule uliyekuwa ukipendwa mwanzo.

Mfano.....
>asipobadilika kwa fikra kwa maana ya kuwaza juu ya huyo mwanamke hatoweza kuongoka katika mateso anayoyapata.

>ama katika matendo anayoyafanya mfano kumfuatikia huyo mwanamke,kumtaka radhi huku hakuwa na kosa alilotenda.

4.Anaamini eti akishinda ndani,akikosa raha/furaha,akimlilia,akiombewa msamaha na ndugu zake,asipokula chakula eti atamfanya mwanamke kuingiwa na huruma na arudi kuwa wake tena kwa mapenzi yale yale yaliyokuwa ya mwanzo.

Ushauri kwako wewe mfanye huyo ndugu yako aitambue thamani yake hasa nilipokuja suala la kupenda ikiijuwa tu hatokuja kusumbuka tena...

kuna sehemu labda hujanielewa vizuri uliza nikufafanulie.
Nmekuelewa sana mkuu.hapa kwakweli itabidi waachane tu ili kuepusha kuwa mtumwamkwa ushauri huu lazima apone
 
Nmekuelewa sana mkuu.hapa kwakweli itabidi waachane tu ili kuepusha kuwa mtumwamkwa ushauri huu lazima apone
Japo kuachwa ni kuachwa ila zaidi ashukuru huyo mwanamke amemwacha kwa hekima sana maana mpaka anapata muda wa kusema nae.

Anapaswa atambue ya kuwa huyo mwanamke anayo sababu ya msingi zaidi ya kufanya hayo tena sababu huwenda zaidi ya moja.

Mwanamke anayekupenda kwa dhati hahofii kusemwa na ndugu,kutengwa ila zaidi hofu yake kubwa ni kutompoteza yule anayempenda hivyo hufanya kile ambacho anajuwa hakitokuwa sababu ya kutengana.
 
Lazima kutakua na sababu tu
 
Huyo girl inaezekana karudiana na ex wake au alikua Ana cheat na jamaa mwngne na sahv kaona jamaa ni potential kuliko ww anahitaji kuwa serious nae..
Mapenz hayalazimishw kama girl kakukataa na umembembeleza kakukazia maana ake Ana uhakika na anachokifanya.

The best thing u can do is to move on, kunywa pombe hakutafanya girl arud rather kutakuongezea cost and u ruin ur life not hers.

After all , ikishatokea incidence kama hyo hata mrudiane hamtafit kama zaman girl atakua anajishtukia na ww utakua bado unakumbuka alokufanyia hamtafit trust me.
Inauma kuachwa lkn jikaze mtoto wa kiume utazoea taratibu taratibu mwisho utamsahau.
Inaonekana huyo jamaa ndio kibuti chake cha kwanza ndio maana anafanya hayo anayofanya.Ulichomshauri ni vema azingatie na maisha ni lazima yaendelee maana hakuzaliwa nae yule.
 
Achana na kulia lia hovyo. Man up huyo sio mama ako na wanawake wako wengi!
 
Huyo jamaa yako asonge mbele ampotezee huyo bibie b'coz when you go back to someone who mistreated you, you’re cheating yourself out of an opportunity to be with someone who will always consider your feelings.
Just like u were on my thoughts.
The guy should move on so that he can find a better place for his heart.
 
Achana na kulia lia hovyo. Man up huyo sio mama ako na wanawake wako wengi!
ndo shida ya kuwa naye mmoja, unamuonesha uaminifu wa kila aina lakin mwisho wa siku anakucheat. Achana naye huyo jipange tu kwa mwingine then life will go on.
 
Back
Top Bottom