Watanzania tunapenda kusikiliza uongo wa serikali ya CCM kwa miaka 50 sasa, utaona jinsi issue ya umeme ilivyowekwa kisiasa mpaka inafika mwisho tunazidi kudanganywa
Waziri anasema tusherekee hata dakika moja kero ya umeme imeisha..leo anasema gesi ni mradi wa mtu binafsi wakati anasema serikali imetumia billion kwenye huu mradi. Angalia mfululizo wa statement za Waziri na Tanesco, MTANZANIA CHUKUA HATUA KUTOCHAGUA SERIKALI NA VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TANZANIA BALI MASLAHI BINAFSI.
August 6: Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao
Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao - Biashara | Mwananchi
Akizungumza juzi wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa bomba hilo na mitambo ya umeme wa Kinyerezi, Simbachawene alisema bomba hilo limekamilika na liko kwenye hatua ya majaribio.
Septemba 17: Tanesco yaahidi umeme wa uhakika wiki hii
Tanesco yaahidi umeme wa uhakika wiki hii - Kitaifa | Mwananchi
Akizungumza mjini Dar es Salaam, jana, Msemaji wa Tanesco, Adrian Severin alisema kazi ya kuunga bomba la gesi kwenye mitambo ya kufua umeme ya Ubungo iliyoanza Julai 7, mwaka huu, ilikamilika juzi kama ilivyopangwa.
Septemba 19: Serikali kushusha bei ya umeme Oktoba
Serikali kushusha bei ya umeme Oktoba - Kitaifa | Mwananchi
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alisema hayo, Dar es Salaam, jana wakati akikagua mradi wa bomba la gesi na kuwashwa kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Ubungo II na Kinyerezi I.
Jambo hili ni kubwa na la kihistoria kwa nchi hii kwa kitendo cha kuanza kutumuia umeme wa gesi, tulipaswa kusimama hata kwa dakika tatu kusherekea mafanikio haya kupitia mradi kubwa wa serilkai uliogharimu dola za Marekani 1.22 bilioni, alisema Simbachawene
Mradi wa kufua umeme kwa Gesi umekamilika nchini na ndani ya mwezi Setemba na Oktoba mwaka huu mitambo yote yenye uwezo wa kuzalisha megawati 335 itakuwa imewashwa na hivyo kuondoa tatizo la umeme hapa nchini. Waziri huyo anasema Septemba 17 pekee waliptisha gesi katika bomba lenye ujazo wa futi 20 milioni na kwamba bomba hilo lina uwezo wa kupitisha futi za ujazo 784 milioni na kwamba ghadi Desemba mwaka huu bomba hilo litakuwa limepitisha futu 130 milioni za gesi, sawa na wastani wa ujazo wa futi 20 milioni kwa siku.
Septemba 25: Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara
Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara - Kitaifa | Mwananchi
Meneja Mahusiano wa shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO) Adrian Severin amesema tatizo la kukatika kwa umeme litaisha Oktoba mwaka huu baada ya bomba la gesi kujaa baa 52.
Tatizo hili la kukatika kwa umeme litakuwa kwenye mikoa ambayo Gridi ya taifa imepepita hivyo tulianza kuzalisha megawati 90 na tunaendelea kupandisha kiwango taratibu ili kufikia megawati 335 mwishoni mwa Oktoba mwaka huu
Oktoba 9: Tanzania closing hydropower plants
Tanzania closing hydropower plants - BBC News
The closing of the hydropower dams was beyond the government's control, said Badra Masoud, head of communication at the ministry.
"We cannot do anything because of the changes in environment - we are not getting enough rain."
Ms Masoud said more people farming upstream from the dams was not helping the situation, as this reduced the flow of water.
"We are trying to convince Tanzanians not to farm upstream," she said.
According to Tanzania's private Citizen paper, the state-owned power company, Tanesco, has already shut down its major Mtera hydropower plant, which can generate 80 MW.
The country consumes 870 MW but it only currently generates 105 MW, the paper says.
Oktoba 10: Tanesco yazima mitambo ya kuzalisha umeme bwawa la Mtera.
:: Tanesco Yazima Mitambo Ya Kuzalisha Umeme Bwawa La Mtera
Meneja wa Tanesco kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera mhandisi Abdallah Ikwasa amewaambia waandishi wa habari waliotembelea kituo hicho kujionea hali halisi ya uzalishaji umeme kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na kupungua kwa kina cha maji katika Bwawa hilo hata baada ya kituo hicho kulazimika kuzalisha umeme chini ya mita za ujazo zinazoruhusiwa kitaalam.
HABARI SIYO GESI TENA, SASA NI HAKUNA MVUA NA MTERA IMEKAUKA...TUMESAHAU GESI TUNAANZA KUWA NA HURUMA NA SERIKALI KWELI HAKUNA MVUA.
ALIYENUNUA KIWIRA KINYEMELA KAKOSA DEAL LA KUUZIA UMEME TANESCO NA WATAHAKIKISHA INAKUFA KAMA GENERAL TYRES NA VIWANDA VINGINE ANA ANADIRIKI KUITA WATANZANIA MALOFA