GE2025 Kauli ya Samia kusema hakuna atakaeandamana, na kusisitiza kwa kusema mimi ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi, imezidi kuwapa nguvu polisi kufanya maovu

GE2025 Kauli ya Samia kusema hakuna atakaeandamana, na kusisitiza kwa kusema mimi ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi, imezidi kuwapa nguvu polisi kufanya maovu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Kauli aliyoitoa leo Samia Oktoba 21, 2025 pale Kinondoni yakusema Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura, naona imewapa viburi zaidi polisi na vyombo vya ulizi na usalama kwa ujumla.

Yani kauli yake ni oda kubwa kwamba kila atakayethubutu kufanya maandamano siku ya Oktoba 29, 2025 basi atakutana na moto mkali sana.

Niseme hii kauli mbaya sana kwa rais kuitoa, inatishia usalama kwa wananchi ambao nao waliokuwa na haki ya kwenda kutete haki zao. Lakini imetoa baraka kwa watu wake kwenda kuwaumiza vibaya watanzania watakaoojitokeza katika maandamano.

Soma Pia: Samia: Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura

Samia tambua nafasi ulikuwa nayo leo hatukaa nayo mimi, maana kauli zako zimezidi kuwa mbaya na zinazowapa nguvu ya kufanya maovu hayo polisi ambao kwa sasa wamekuwa maadui wa kubwa sana na Watanzania!

Kuna ubaya gani haki hii ikafanyika kabla ya tarehe 29 oct au baadaye?
Kwa nn inalenga siku ile ile ambayo haki hyo kikatiba imetungiwa sheria na kanuni?

Unalazimisha siku hyo hyo unataka ubembelezwe we kama nani?

Nao hao wanaoandamana kupitia bosi wao atoe tamko!

Hii nchi ina utaratibu wake
 
Kauli aliyoitoa leo Samia Oktoba 21, 2025 pale Kinondoni yakusema Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura, naona imewapa viburi zaidi polisi na vyombo vya ulizi na usalama kwa ujumla.

Yani kauli yake ni oda kubwa kwamba kila atakayethubutu kufanya maandamano siku ya Oktoba 29, 2025 basi atakutana na moto mkali sana.

Niseme hii kauli mbaya sana kwa rais kuitoa, inatishia usalama kwa wananchi ambao nao waliokuwa na haki ya kwenda kutete haki zao. Lakini imetoa baraka kwa watu wake kwenda kuwaumiza vibaya watanzania watakaoojitokeza katika maandamano.

Soma Pia: Samia: Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura

Samia tambua nafasi ulikuwa nayo leo hatukaa nayo mimi, maana kauli zako zimezidi kuwa mbaya na zinazowapa nguvu ya kufanya maovu hayo polisi ambao kwa sasa wamekuwa maadui wa kubwa sana na Watanzania!

Kwa hiyo unataka kusema ameamua kutofuata katiba ya taifa hili au ni upi ujumbe wako?
 
Ila Mama kapaniki (muonekano unaonyesha), ikulu patamu jamani. Hata kama maandamano hayatotokea hili vuguvugu alilolipata atakuwa amejifunza jambo.​
 
Walikuwepo akina Sadamm Hussein atakuwa yeye?
 
Kwahiyo ile ilikuwa ni code kwa polisi kuwa piga ua?
 
Ila Mama kapaniki (muonekano unaonyesha), ikulu patamu jamani. Hata kama maandamano hayatotokea hili vuguvugu alilolipata atakuwa amejifunza jambo.​
Kwa hiyo wewe unalidunisha kuwa vuguvugu ni vuguvugu tuu ama unao ushauri wa kuliokoa taifa letu katika kipindi hiki kigumu?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kijeshi kuna kitu kinaitwa “Rules of Engagement”
Askari anaweza kuchagua kufuata amri halali lakini batili , lawful but invalid order au order lawful in form but void in effect
Mwisho atashtakiwa yeye (na ICC) kwa kufuata amri batili na kuua waandamanaji au kuhukumiwa court martial (kijeshi) kwa kukataa amri ya kiongozi wake
Wazungu wanasema Catch 22 situation
Ndiyo maana nchi kama zilizopinduliiwa kwa maandamano kama Nepal na Madagascar askari hawakupiga raia
Kuna movie ya jina hilo “Rules of Engagement” ya mwaka 2000
hadithi ya kijeshi kuhusu maadili ya vita, wajibu, na haki.
Inaelezea kuhusu Colonel Terry Childers,( Samuel Jackson) askari wa Marekani anayeshtakiwa baada ya kuamuru wanajeshi wake kufyatua risasi katika maandamano nchini Yemen, ambapo raia kadhaa waliuawa.
Serikali inamtumia kama political pawn, sababu za kisiasa, lakini rafiki yake Colonel Hays Hodges anapogundua concealed evidence, anaamua kumtetea.
Inaonesha changamoto za maadili ya vita, uaminifu, na unafiki wa kisiasa.
Askari anapaswa kutafakari nani anapaswa kubeba lawama katika maamuzi ya vita kabla ya kufuata amri
 
Back
Top Bottom