Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Kwa nini Rais Erdogan hakuomba vyombo vya ulizi na usalama kama polisi, magereza, FFU, Usalama wa taifa, na majeshi na private companies kuzuia jaribio! isipokuwa aliwaomba wananchi kuandamana kuzuia kupinduliwa kwake?
Nilichojifunza ni kuwa hata watawala wanatambua kuwa nguvu kubwa kabisa ni nguvu ya umma "wananchi", wala sio mabomu ya machozi, vifaru n.k
Erdogan ametoa somo kubwa sana kwa watawala....
Ni hayo tu
sina cha kuongeza...mod funga huu uzi tafadhaliTume ya Katiba hebu na wewe jiongeze kidogo. Erdogan ataomba vipi msaada kutoka vyombo vya ulinzi na usalama wakati mageuzi yamefanywa na hivyo vyombo? Yaani mtu aombe msaada kwa watu wale wale wanaompindua?
Mkuu ni ka portion tu ka wanajeshi, lakini idadi kubwa ya jeshi lilikuwa nyuma yake sambamba na vyombo vingine vya ulinzi na usalama.....kwa nini aombe msaada kwa wananchi? ni kwa kuwa anatambua nguvu ya umma dhidi ya hayo mavifaru..Akili ya mleta maada haina akili...km wananchi wa Turkey wangekua wameandamana kumpinga angeamuru jeshi kumlinda..ila kwa sasa Jeshi limemuasi sasa anaomba wananchi kumlinda
...we utakuja waingiza mkenge wenzio kwa mapungufu ya matukio yakihistoria...kamilisha na kuuliza kilichojiri ktk tianmen square, uchina...!Mkuu ni ka portion tu ka wanajeshi, lakini idadi kubwa ya jeshi lilikuwa nyuma yake sambamba na vyombo vingine vya ulinzi na usalama.....kwa nini aombe msaada kwa wananchi? ni kwa kuwa anatambua nguvu ya umma dhidi ya hayo mavifaru..
Kwani anashindwa vipi kushawishi wanajeshi/askari watiifu kwake kuzuia mapinduzi?Sema anajua kabisa umma ndo solution ya kutokupinduliwa kwake.Tume ya Katiba hebu na wewe jiongeze kidogo. Erdogan ataomba vipi msaada kutoka vyombo vya ulinzi na usalama wakati mageuzi yamefanywa na hivyo vyombo? Yaani mtu aombe msaada kwa watu wale wale wanaompindua?
Jeshi halijamuasi bali ni kundi dogo sana la askari walioasi ndo maana waliweza kuzingirwa na polisi na kujisalimisha wenyewe.Akili ya mleta maada haina akili...km wananchi wa Turkey wangekua wameandamana kumpinga angeamuru jeshi kumlinda..ila kwa sasa Jeshi limemuasi sasa anaomba wananchi kumlinda
Huu ndo ukweli ila watu wataleta hoja zisizo na mashiko.Huwezi kupambana na nguvu ya umma hata utumie vifaru vipi.Mkuu ni ka portion tu ka wanajeshi, lakini idadi kubwa ya jeshi lilikuwa nyuma yake sambamba na vyombo vingine vya ulinzi na usalama.....kwa nini aombe msaada kwa wananchi? ni kwa kuwa anatambua nguvu ya umma dhidi ya hayo mavifaru..
Hiyo sawa.... Lakini alikuwa na jeshi linalo mkubari siyo wote walitakakumsalit tho katika hari km hyo kumwamini mtu wakati shughur isha anza yataka moyo ndo maana his last resort ilikuwa wananchi.... (nb: hilo hilo jeshi ndo lilimrudisha kwenye kitu baada ya wasaliti kuuwawa au kukamatwa)Tume ya Katiba hebu na wewe jiongeze kidogo. Erdogan ataomba vipi msaada kutoka vyombo vya ulinzi na usalama wakati mageuzi yamefanywa na hivyo vyombo? Yaani mtu aombe msaada kwa watu wale wale wanaompindua?