Kauli ya Rais Magufuli kuhusu kusajili line za simu: Mwanaharakati ampinga na kuiita Tanzania "Fingerprints Country"


Don't be naive, unaleta hoja ya kitoto ili kujionyesha kama una hoja ya maana kumbe upuuzi mtupu. Kitambulisho kimoja cha nida kikitumiwa na watu wawili hivyo uhakiki utaupata kwenye fingerprint za line ya simu? Kama inawezekana watu tofauti kutumia kitambulisho cha nida watashindwa nini kusajili line ya simu kwa mbinu hiyo hiyo? Fahamu kuna mtu mmoja anatumia line zaidi ya moja ya simu, pia fahamu kuna line za simu zinatumika na kampuni, lakini kampuni haina fingerprint hivyo mtu ndio anatumika kusajili line hiyo. Rudi shule ukajifunze logic, sio huu utoto ulioleta hapa.
 
kuna watz mnaamini kufika ama kujua ulaya ni sawa na kuujua ufalme wa mbinguni. ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kutaka kukejeli ili upoteze mantiki ya mleta post, rais katoa mfano wa ulaya ambapo hana uzoefu napo wala hajawahi kukaa, katokea mtu anayeishi huko rais alipotolea mfano kwamba hakuna kitu kama hicho. Umeona rais kaongopa, sasa unaokoa jahazi kwa kukejeli ili uue soo.
 
Mpaka sasa kuna laini kibao zinazouzwa mitaani zimesajiliwa kwa finger print.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa kuna laini kibao zinazouzwa zimesajiliwa mitaani kwa finger print.!

Sent using Jamii Forums mobile app

Haha, halafu mtu anasema kusajili line za simu kwa finger print Ni kwa ajili ya usalama! Wale wahuni waliovaa suruali za mlegezo wanaweza kutunza siri gani kwa fingerprint? Hicho kitendo tu cha hizo line kusajiliwa kwa fingerprint kiholela, kunaondoa maana halisi ya usalama wa hizo fingerprint.
 
Acha kuwa na kichwa kigumu na kuleta ujuaji wakati ni mjinga, kaka yako akienda kusajili SIM card kwa kutumia kitambulisho chako wao wana hakiki vipi kuwa sio yeye anayemiliki hicho kitambulisho, nimekutolea mfano mwepesi wa Airport, kwa nini baada ya ku scan kitambulisho chako bado wana hakiki kwa fingerprint na au facial recognition bado unaleta ubishi wa kijinga. Tafuta nyumbu mwenzio basi muendelee kujazana ujinga maana ndicho unachotaka kusikia.
 
Unajua JPM kaishi nchi ngapi nje?
Nakutajia Canada.. fanya homework kwa the rest....
wewe acha kutetea washamba wanaojifanya niliishi nchi nyingi ulaya... so what?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi kibao duniani zinatumia fingerprints kupata simcard...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo analofanya Mhe. Rais ni kwa maslahi mapana kwa nchi yetu na itabaki kumbukumbu ya kudumu kwa vizazi vingi vijavyo. Wazungu wameanza kuelewa uzalendo wa Rais Magufuli kwa nchi hii si wa kubezwa
Nimekaa italy 5 yrs haya Mambo ya usajili wa Aina hii haupo kama Ni kudhibiti uhalifu mafia gang ndio asili yake cicily italy ila wameidhoofisha 90% bila finga puli
 
baadhi ya nchi zinazotumia fingerprint kununua simcard

Akiongea mzungu kuhusu Tanzania wote tunaabudu na kudhani kuwa ni weakness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
what is kiholela hapo boss?

Kutokea few wajinga wakasajiri wakauza sio disqualification ya lengo zima..

mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo kwakuwa in case ya anything utakamatwa uliye sajiri....

pingapinga sometimes inapofusha busara zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…