Kauli ya “Nchi za Wenzetu” ni kwa lipi hasa?

Kauli ya “Nchi za Wenzetu” ni kwa lipi hasa?

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
WATANZANIA TUSITUMIE NENO HILO WAKATI TUKIJUA WAZI HALINA UHALISIA

Sababu zangu kusema hivi ni sehem kuu 1 (kwa Leo)

1/ USALAMA BARABARANI
Najua wengi tunafaham kuhusu hili suala.
Ajali nyingi zinatokea na zitaendelea
kwasababu ya ufinyu wa elim/ufaham na uwajibikaji/UWAJIBISHWAJI.

Nimeweka attachment
Ni sababu kwanini hao tunaowaita wenzetu hawana hizi ajali zisizo la kisingizio.

Na hapa ukishikwa kwa makosa kadhaa unapewa option 3.

a/ Kulipa fine na ubaki na record ya Hilo kosa kwenye leseni yako.(inamadhara yake)

B/Kwenda mahamani na kukata rufaa(ukiwa na ushahidi, kwasababu Siku ya mahakama polisi aliyekushika lazma awepo na atakua na ushahidi wake wa video)

C/ Kulipa fine, Kusoma kitabu cha udereva, kufanya mtihani na ufaulu ili ufutiwe kosa lako kwenye record ya leseni yako.

FINE HAIKWEPEKI. Labda ufaulu kwenye chaguzi B.

Sasa hapa kwa hili suala hawa ni wenzetu!?

IMG_5191.jpg


IMG_5191.jpg
 
Back
Top Bottom