Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,944
- 3,090
Heshima ya Rais mstaafu hupaswa kuwa ni ya kiwango cha juu sana kwenye Taifa lolote alilowahi kulitumikia na kimataifa kwa ujumla .
Lakini kwa ile kauli ya Kikwete iliyotolewa jana akiwa huko Pwani inadhihirisha siyo tu ameshindwa kuheshimu thamani ya demokrasia na vilio vya watu waliyonyimwa haki ya kusikilizwa bali amewadharau watanzania kwa kiwango cha juu sana .
Kila mmoja kwa nafasi yake anapaswa kusimama imara kulipambania Taifa lirejee kwenye misingi ili chama chochote cha siasa kitakachopata ridhaa kuwe kinajiedesha kwa kufuata sheria sambamba na kutii matakwa ya watanzania .
Tukishindwa kuwaondoa hapa tarehe 29_October tujue kitakachofuata ipo siku tutaweza hata kupapaswa makalio na wanaccm na hatutakuwa na chakuwafanya .
Taifa limefikia eneo ambalo tusipokubali hata kufa tujue kuwa tumekubali kuishi kama wake za watu aisee .
Pia soma