Sasa amekuja na hii ya kuwasema polisi wasiwaonee wanasiasa (soma wapinzani) wakati wa kampeni aonekane ni mwenye huruma na mpenda haki kwa kila mtu.
Sijui kama anaamini watu wanamwelewa kwa hayo anayoyasema sasa hivi kuelekea kwenye uchaguzi.
Ni kama ana 'multiple personalities'.