Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

Kuna uzi humu mtoto wa Kakobe alisema hajamuona baba yake mwaka zaidi ya mmoja.

Aliishia kutumiwa picha na kushangaa amefuga ndevu nyingi kitu ambacho hakuwahi kumuona akifanya.

Kila akifika kwake anazuiliwa na kupewa majibu baba yake yuko busy anaandika kitabu.

So who is fooling who?
 
Back
Top Bottom