Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Mh...Kuna kijiji kimoja kinaitwa KATOMA Katikati ya Nyamboge na nkome mkoani Geita tarafa ya Bugando, hapo kijijini kuna kaburi LA BABU yake na Mkulu wetu nimewahi kufika hapo na wakazi wa hicho kijiji wanadai Mzee magufuli (siyo jina halisi) Walimuita wenyeji kutokana na ukorofi wake na kuwashitaki watu na kuwafunga, Alikuwa Mzee mwenye ng'ombe wengi sana na Alihamia hapo kijijini akitokea Kati ya nchi ya Rwanda au Burund kwa kisukuma huitwa (bwadushi)(Tutsi) Hivyo huyu Mzee alikuwa mhamiaji na Alifia hapo katoma na kuzikwa hapo ndipo Baba yake na Mkulu wetu na ndg wengine walipohamia Biharamlo mkulu akiwa Mdogo sana hajaanza hata shule na shule alienda kuanzia kule,,