kauli ya chadema tukio la mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kauli ya chadema tukio la mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malunde-Malundi, Jul 7, 2011.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna asiye jua CDM ilivyo kipenzi cha wana mwanza. Tunataka kauli sasa dr slaa, zitto hupokewa mwanza kama mfalme,
  where is comrade mbowe, mtete wa wanyonge where is lissu na wote, tunataka kauli kwa ajili ya tukio la mwanza maana nyie ni chama tawala muache kulalamika we need a statement clearly giving directions kwa wana mwanza tuko tayari kwa lolote
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataongea nini wakati baraza la madiwani wa chadema ndilo lililopitisha azimio la kuwaondoa wamachinga?
   
 3. U

  Udini Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pekua humu kuna thread inaelezea kilichotokea mwanza (meya: manyerere)
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  manyerere analamikia kurukwa ktk maamuzi nataka kauli ya chama kuhusu tukio hili la historia ktk nchi yetu maana sasa naona polisi wameruhusiwa rasmi kushoot anywhere
   
 5. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tutafika wanakotaka tende p+_))(f
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli tunahitaji watu wenye upeo mkubwa kusolve matatizo ya waTz. Hili ni beyond itikadi za kisiasa. Inauma sana kusikia tena watu wamepoteza maisha. Where are we going?
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uongozi wa juu wa CDM na madiwani wao waliotoa uamuzi wa wamachinga waondolewe hawaelewani!
  Hata mimi nina hamu ya kujua hili Sinema litaendaje! Ngoja niagize popcorn na soda mapemaaa
   
Loading...