Mara nyingi tumewasikia wabunge toka CCM na viongozi wa serikali kuwa wananchi wataamua kuhusu tabia ya wabunge toka CDM. Sielewi vizuri maamuzi gani yanatarajiwa na wana CCM, ya wananchi kuwakataa wabunge wa CDM au kuwakataa wao toka CCM ? Ni kauli tata na inarudiwarudiwa mara kwa mara.
Itakuwaje wananchi wakiamua kinyume na CCM ? Labda huwawanasema bila kuatafakari maana halisi ya kauli hizo.
Ninasubiri maamuzi tarajiwa.
Kauli hizi zinatolewa na wabunge wa viti maalum ambao ndo wamejaza bunge. Wanachofanya ni kushangilia pumba hata kama mbunge anashukuru kwa kugongwa vizuri na mumewe, wao wanashangilia na kupiga makofi.

wananchi wa mwaka 47 hawapo siku hizi.