Kauli "wakati unalipwa mshahara"

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
5,312
6,895
"Unamsainia mtu mshahara wakati hakupi mkono"
"Mwenyekiti anawalipa mshahara halafu wanaimba wanaimani na mtu flani"
Je kulipwa mshahara ni kuwa mtumwa wa kimawazo, huna sehemu ya kuhoji kisa unapewa mshahara?Mtu akikupa mshahara umekuwa mtumwa wake? Tutegemee nini kwa wanaolipwa mishahara?
 
Ni jambo la fedheha haijawahi kutokea... ameamua kutokujua kwamba kwa wakati ule Kikwete hakuwa mgombea waliokuwa wagombea ni Lowasa na wenzie...Akaamua kutokujua kwamba hata katibu mkuu alikuwa na namna ya kuchagua mtu sahihi kwa maslahi mapana ya chama....Akajua kwamba ukilipwa mshahara kwa kazi maalumu basi na utu wako umenunuliwa....
Hawa viongozi sijui ni gangilonga...Tuko kwenye nchi ya kusadikika naona.
 
Wao wanakuambia Nyerere mpya kazaliwa...
Huyu ni zaidi ya nyerere.

Nawaza na najiuliz ukilipwa mshahara na serikali lazima uwe ccm sbb inakulipa mshahara?

Au mshahara ni ujira wako na haki yako baada ya kufanya kazi fulani no matter what?
 
Huyu ni zaidi ya nyerere.

Nawaza na najiuliz ukilipwa mshahara na serikali lazima uwe ccm sbb inakulipa mshahara?

Au mshahara ni ujira wako na haki yako baada ya kufanya kazi fulani no matter what?
Hizo ni fikra za mwenyekiti... usimjaribu!!
 
Back
Top Bottom