Kauli tata Mei Mosi 2019

Wana wanasema ukisikia changa la macho ndio hili[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 

Ila hapo kwa WS umefika mbali sasa!!bwana Yule si anaongozwa na tumbo pia???

Tundulissu is our president ila sijui mwaka gan!!!!!!
 
Mh ni jasiri muongoza njia ambaye pia ni kauzu sana.Kwa hii njia anayotupitisha tutaona matunda yake mbeleni tusimkwamishe.kuhusu uchaguzi ujao naona kama hakutokuwa na uchaguzi kwa vile upinzani ushapotezwa na hauna agenda yenye mshiko.Nina maanisha hata wakilibeba hili wananchi wana matumaini na mwenye nchi.
 
tusimkwamishe.kuhusu uchaguzi ujao naona kama hakutokuwa na uchaguzi kwa vile upinzani ushapotezwa na hauna agenda yenye mshiko.Nina maanisha hata wakilibeba hili wananchi wana matumaini na mwenye nchi. KUNA VITU HUVIJUI BADO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…