Kauli tata Mei Mosi 2019

Chukua kadi ya ccm mkuu otherwise utapata pressure bure-Serikali hii kipaumbele chake ni ccm na sisi wanaccm tunaishi Tanzania ya pekee yetu-Ukimuona mwanaccm anao tatizo lolote na serikali hii basi jua huyo ni mchawi
 
niko field ndo maana naumia sana. Nasimamia taasisi ya elimu hapa kijijini.
Chukua kadi ya ccm mkuu otherwise utapata pressure bure-Serikali hii kipaumbele chake ni ccm na sisi wanaccm tunaishi Tanzania ya pekee yetu-Ukimuona mwanaccm anao tatizo lolote na serikali hii basi jua huyo ni mchawi
 
Wewe kinachokuuma hapa ni nini? Elimu ni bure na kama hujui maana ya bure basi tafuta kamusi ya kiswahili usome,usitusumbue sisi hapa
 
Hizo picha hilo ndilo kundi linalotumiaka sana na wanasiasa na kutipwa kama kondomu iliyotumika. Lakini ni kundi vumilivu na ambalo halina ubishi lipo tayari kutumika wakati wowote. Limekuwa kama mpira wa kona
 
Ualimu ni wito si mshahara mzuri-mateacher pigeni kazi-Hapa kazi tu
 
Mkuu kaeleweka vZur Sana!mpaka atakapokuwa anakarbia kutoka madarakan,ko ni mwaka 2024!

sijui kajuaje kuwa uchaguz ujao atashinda!!siasa za bongo bwana!!!!
Yeye hategemei sanduku LA kura, ana mbinu mbadala. Kilangila.
 
Mshana Jr naomba nisaidie takwimu nchi nzima kuna wafanyakazi wangapi?
 
Acha ubinafsi kwanza ndio akili itaweza kufikiri kwa kiwango chake..hatuzaliwi kufikiri hivyo unavyowaza, angalia mbali zaidi ya hapo..
 
Huelewi hata unachoandika, unapepesuka tu, sasa hivi umerukia sijui nadharia za makundi ya viongozi..hakuna kipaumbele bila kwanza uwezo na kujua matokeo ya vipaumbele.
 
Kuna kitu sijasikia watu wakikijadili sana ambacho Rais alikisema jana, ambacho hata mimi mwenyewe sijakielewa. Kuhusu fao la kujitoa. Alisema, Serikali imeamua (kwa kuwathamini wafanyakazi wa Tanzania) kukiacha kikokotoo cha zamani (Ambacho kwa maelezo ya Rais hakitumiki popote duniani) kiendelee kutumika. Kwa kufanya hivyo, Serikali imeamua kuchukua mzigo mkubwa ili kuwasaidia wafanyakazi wa Tanzania. I was totally confused. Mimi ni mfanyakazi. Nachangia kila mwezi kwa miaka zaidi ya 40 kabla ya kustaafu. Ninapopewa mkupuo wa asilimia 50 ya mafao yangu ya uzeeni kuna mtu au chombo kingine kimenifanyia hisani au huruma hapo? Hebu wahenga tusaidianeni hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…