Natumia free basic mkuu,inasemaje hiyo video?
2024... Can't guarantee.... [emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu kaeleweka vZur Sana!mpaka atakapokuwa anakarbia kutoka madarakan,ko ni mwaka 2024!
sijui kajuaje kuwa uchaguz ujao atashinda!!siasa za bongo bwana!!!!
Lazima wawe kwenye hali hiyo,maana wafanyakazi Leo walikuwa wana msikiliza Mh lakini walikuwa tayar kwa lolote yani ni kama mashabiki Wa Man U walipokuwa wanatizama mechi kati yao na Barcelona....Wafanyakazi utadhani wako msibani
2024... Can't guarantee.... [emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]