Kauli Tata kwa Mfariji Mkuu wa Taifa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
by Pdizaina from X
Nikikumbuka aliwahi kusema

1. Kwenye mbuga za wanyama kuna madini ya thamani Sana,na Simba wala hali madini. Tukachimbe "

2. Katiba ni kijitabu Tu

3. Hata mkipiga Kura kule kwingine lakini Sisi ndiyo tutakaounda serikali

4. Utekaji ni vijidrama Tu

5. Kifo ni Jambo la kawaida

 
5. Kifo ni kifo tu
 
Kiwastani hijizungumzia kwa adhima zao lkn mwanamke huridhika nakuwa na majivuno makubwa kwa hatua chache tu za mumewe sembuse mambo ya sanandakarawe
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…