Kauli moja tu ya Magufuli, Lowassa kwisha...

Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
unafikiri Lowasa akili zake za kushikiwa kama zako?Huwa hakurupuki huyu gifted !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weusi wa SA, USA etc wangekuwa na mitazamo kama ww, mpaka leo bado wangekuwa wanadhalilishwa. Wewe usharidhika na unashangilia hata ukandamizaji wao kwa bk7.
Ninamuomba Mungu usije ukarithisha wanao unyonge katika nchi yao. UFE NAO MWENYEWE. AMEN.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidhani kila mtu humu masikini kama wewe hadi useme nina kipato cha buku7 kwa siku..

Sasa wewe ambaye hujaridhika ndiyo upo kupigania haki hapo nyuma ya keyboard.?ndio walivyofanya hao weusi wa America.?
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashabikia upuuzi. Watanzania tunanufaika nini na hicho unachoeleza? Leta hoja zenye manufaa kwa Taifa
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga tafakali kabla ya kupost
 
Amekutana na chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom