Kauli moja tu ya Magufuli, Lowassa kwisha...

Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajuwa mafundofundo yake na kila mahali kamshika...
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kiwanda gani
 
Umeongea sawa, lakini nimeshindwa kuona uhusiano wa hicho unachokisema na lowasa kumpa Pole lissu.
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Magufuli ana serikali na vyombo vyoote vya mabavu vya dola! Ulitaka Lowasa apambane naye kivipi labda?
 
Hata wewe nakushauri awamu hii kaa kimya tu..

Jambo likuume au likufurahishe jifanye hujaona kitu hata mkeo usimwambie..

Tofauti na hivyo Utalimia meno mkuu..

Unadhani kama Manji angekaa kimya siku aliyotajwa kuhusu madawa ya kulevya angekuwa anapata tabu zote hizi..

Zamani watu tulikuwa tunachangia kila mada humu JF kwasasa tunasoma tu na kupita,hata kutoa pole kwenye uzi wa lissu tunashindwa..

Sikuzote maishani mwako muache aliyeshika mpini afanye anachotaka ndiyo maisha..

Tafuta Chakula kwaajili yako na familia yako,Muombe Mungu uendelee kuwa hai Basi,Hayo mengine yaache..
wewe na nani mnao ogopa kutochangia mada humu!!
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mzee ni mwoga anajuwa serikalin alivurunda ana madudu mengi anaogopa rungu LA jpm linaweza kumfikia kama Mr.zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan mtoa mada bado hujajua kua, kukaa kimya ni jibu la mjinga.

Angejibu na yeye angekua mjinga so katumia busara yake kunyamaza.

Huwez amin hapo baba jesca kaumia sana kwa kutojibiwa coz anapenda sana ligi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini hakutumia busara kukaa kimya mara ya kwanza mpaka kuanza kuropoka maneno yasiyotoka moyoni mwake?
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi
 
Attachments

Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Hata wewe nakushauri awamu hii kaa kimya tu..

Jambo likuume au likufurahishe jifanye hujaona kitu hata mkeo usimwambie..

Tofauti na hivyo Utalimia meno mkuu..

Unadhani kama Manji angekaa kimya siku aliyotajwa kuhusu madawa ya kulevya angekuwa anapata tabu zote hizi..

Zamani watu tulikuwa tunachangia kila mada humu JF kwasasa tunasoma tu na kupita,hata kutoa pole kwenye uzi wa lissu tunashindwa..

Sikuzote maishani mwako muache aliyeshika mpini afanye anachotaka ndiyo maisha..

Tafuta Chakula kwaajili yako na familia yako,Muombe Mungu uendelee kuwa hai Basi,Hayo mengine yaache..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wa wachangiaji humu walikuwa vyeti feki au mishahara hewa au watu wa poda au wamevunjiwa nyumba Kimara bado wana hasira kama vichaa tuwasamehe bure
 
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa bombadier walitoa kauli moja tu...."Ndege yenu haiji mpaka tanzania itulipe".....Magu kimyaaaaa...kwishaaaaa.....Mbona hasemi issue za bombadier?.....inakuja lini?....au ni uchochezi?.....naweza kufuatwa na nissan nyeupe eheee!!..........NDEGE YETU INAKUJA LINI?...
 
Samwel Doo alijaribu siasa za risasi kule Liberia aliishia kuburuzwa na Landrover mjini kote Monrovia na kunyofolewa viungo kabla hajafa. Hakuna muuaji ambaye amesalimika dunia ya leo. Ukiishi kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
Unataka kutueleza nini mkuu kuwa muwazi ili tukuelewe tusije kukuelewa vibaya ikala kwako!!
 
Hata wewe nakushauri awamu hii kaa kimya tu..

Jambo likuume au likufurahishe jifanye hujaona kitu hata mkeo usimwambie..

Tofauti na hivyo Utalimia meno mkuu..

Unadhani kama Manji angekaa kimya siku aliyotajwa kuhusu madawa ya kulevya angekuwa anapata tabu zote hizi..

Zamani watu tulikuwa tunachangia kila mada humu JF kwasasa tunasoma tu na kupita,hata kutoa pole kwenye uzi wa lissu tunashindwa..

Sikuzote maishani mwako muache aliyeshika mpini afanye anachotaka ndiyo maisha..

Tafuta Chakula kwaajili yako na familia yako,Muombe Mungu uendelee kuwa hai Basi,Hayo mengine yaache..
Weusi wa SA, USA etc wangekuwa na mitazamo kama ww, mpaka leo bado wangekuwa wanadhalilishwa. Wewe usharidhika na unashangilia hata ukandamizaji wao kwa bk7.
Ninamuomba Mungu usije ukarithisha wanao unyonge katika nchi yao. UFE NAO MWENYEWE. AMEN.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom