Kauli moja tu ya Magufuli, Lowassa kwisha...

Kauli moja tu ya Magufuli, Lowassa kwisha...

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Hahahahaha Lowassa tangu aambiwe "...Usinijaribu"... Kawa Bubu.

Wengi mnakumbuka lowasaa alivyo toa kauli ya kuhusu Mashekhe wa Uamsho, kilicho mpata, Magufuli alisema "Usinijaribu maana moto wangu hauta uweza "
Kwanzia hapo Lowassa kawa Bubu na mafichoni haonekani hadharan wala hatoi kauli tena hahahah angeshatoa tamko kuhusu Lisu kupigwa risasi mpaka sasa hahahha chezea magufuli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli ya mtu muoga
 
Sijaribiwi amemjaribu Mungu na Mungu kamjibu kwa uhakika nilichokiumba huwezi kukipora bila ridhaa yangu.

Sasa nani amejibiwa mpaka sasa mmewehuka mno mnarandaranda kama Mpaka aliyekosa mawindo.

Leo mko buguruni mnatoa pikipiki kesho mko Tandika mnatoa computer mara mwisho wa bahari mnafungua duka basi kila kitu shaghala baghala.

Tena safari hii kimya kimya.Anyway mwambieni Sirro abambikie wengine hii kesi ili muepuke lakini Mungu amewaaibisha mchana kweupe.

Chama Cha Mauaji miaka 55 badala ya maendeleo mnajua kuua,kuteka na kutesa tu
 
Hata wewe nakushauri awamu hii kaa kimya tu..

Jambo likuume au likufurahishe jifanye hujaona kitu hata mkeo usimwambie..

Tofauti na hivyo Utalimia meno mkuu..

Unadhani kama Manji angekaa kimya siku aliyotajwa kuhusu madawa ya kulevya angekuwa anapata tabu zote hizi..

Zamani watu tulikuwa tunachangia kila mada humu JF kwasasa tunasoma tu na kupita,hata kutoa pole kwenye uzi wa lissu tunashindwa..

Sikuzote maishani mwako muache aliyeshika mpini afanye anachotaka ndiyo maisha..

Tafuta Chakula kwaajili yako na familia yako,Muombe Mungu uendelee kuwa hai Basi,Hayo mengine yaache..
 
Nyie mmeanza siasa za risasi, Aina hii ya siasa ni ya hovyo sana kwasababu haina mwisho mzuri kwa yeyote.
Ni siasa ambayo haihitaji akili nyingi na kila mtu anaiweza.

Tulieni muone mbwa anavyokula mbwa!
Samwel Doo alijaribu siasa za risasi kule Liberia aliishia kuburuzwa na Landrover mjini kote Monrovia na kunyofolewa viungo kabla hajafa. Hakuna muuaji ambaye amesalimika dunia ya leo. Ukiishi kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
 
Nguvu na akili havitangamani. Pia kichaa akikuvua nguo akakimbia nazo nawewe ukamkimbiza wewe ndio utaonekana kichaa.Hivyo kuwa bubu ni jibu la mwenye kutumia akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kukaa kimya ni hekma na busara, si lazma ukaongea, hata wewe ungekaa kmya ucngepata mfedheheko kutokana na baadh ya koment
 
Hizi bangi za Lumumba wanavutia makaburini.hiyo ni kauli ya kusifia kutolewa kinywani mwa raisi ! Asijaribiwe yeye nguo kua inamtosha Lowasa au ina pwaya,ni kiatu kua kimebana mguuni ! Nikawapikie,ukimwi nyie... Hakuna njaa,serikali haina shamba,sikuja kutafuta wachumba ! Alafu unasifia eti kijana unayetegemewa uwe na familia kusho !hizi kauli ni za mtu aliyetimia kichwani ? Anatofauti gani na wewe unayemshangilia !! Kweli huyu mtu kabwaga nchi toka kwenye Lori hadi chooni.vijana ccm hawana tena akili,wananuka choo tu hadi mitandaoni.Eee Mungu nusuru watoto wetu,kama hizi ndizo akili Mungu wetu Taifa litaongozwa na nani wakibaki hawa wa hivi baada yetu ? Nyoosha mkono wakuiponya nchi Mungu wetu,Amen.mtoto anafurahia aibu ya kiongozi wake Mungu mrehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom