Kauli mbiu ya Lowassa kugombea ubunge 2010

Lowasa jeuri yake itaisha pale mtu ambaye anadai 'hawakukutana naye barabarani' atakapolazimika kutoka 'white house' mwaka huu na kuingia sura nyingine atakayekiita 'kijiko,' 'kijiko,' 'kisu,' 'kisu,' nk!

Haya ndiyo naombi yetu kwa Mungu
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana,wasahau haraka mno hata mambo yatakayowaumiza kwa miaka mingi.
Kwanza hakuna ambapo Mwakyembe alitaja kuhusu kujiuzulu,EL alishauriwa apime na achukue hatua muafaka,angeweza hata kuomba msamaha,HAKUFANYA.
Report ile alipewa Rais,Waziru Mkuu na waziri mkuu kivuli kabla haijasomwa hivyo alijua fika kilichokuwemo na naamini walijadiliana.
Msabaha anayo siri kubwa na angeweza kujitutumua na kuitapika basi JK na EL wangeumbuka mno.
EL alifanya hila na RA na walijua wanchokifanya,hastahili huruma.
Pia amewasaidia sana jamii ya wafugaji ku acquire land na kuwasogeza wakulima ukingoni,kama huamini nenda Kilosa.
Binafsi kama binadamu nampenda ila ubinafsi na tamma ya kulimbikiza mali imemjaa mno.
 
unamkubali kwa sababu wewe pia ni fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…