Huyu mama alianza kulazamisha ili swala muda mrefu utasikia vitu vitapanda bei nauli na kila kitu. Badala ya yeye kukemea upandishwaji hovyo wa bidhaa yeye ndio anabariki.
Serikali wanataka kutumia mwanya huu wa kupanda bei kwa mafuta kuongeza kodi na tozo kimya kimya ili wavune pesa