Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Siku tukifa ndio tutapata akili
Atamfuata Petro?Mama atakimbilia Marekani haki ya nani.
Ile kazi ya kuigiza Muvi na PIRA inamufaa.
Kule mto mara kuna traces za mafuta hamna anayehangaika nayoKwani Mafuta yetu yutaanza kuchimba Lini?
Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu.
Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa mbaya (sikatai Wala Sina pingamizi).
Mtu huyo huyo anatamka tena hadharani, Mafuta yataendelea kupanda Bei ( hapa anasahau kuwa kwa yeye kutamka hivi atafanya wafanyabiashara kupandisha Bei kiholela kwa madai ya Mafuta kupanda Bei)
Kwa level ya Rais alitakiwa kuhakikisha anachukua hatua na sio kutangaza kitu ambacho MADHARA yake ni makubwa zaidi kuliko hata Ile kauli yake ya mwanzo. Anyway, Wacha maisha yaendelee.
View attachment 2212256
Bei ya mafuta nchini ni nzuri kuliko Marekani!!!🙏🏿Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu.
Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa mbaya (sikatai Wala Sina pingamizi).
Mtu huyo huyo anatamka tena hadharani, Mafuta yataendelea kupanda Bei ( hapa anasahau kuwa kwa yeye kutamka hivi atafanya wafanyabiashara kupandisha Bei kiholela kwa madai ya Mafuta kupanda Bei)
Kwa level ya Rais alitakiwa kuhakikisha anachukua hatua na sio kutangaza kitu ambacho MADHARA yake ni makubwa zaidi kuliko hata Ile kauli yake ya mwanzo. Anyway, Wacha maisha yaendelee.
View attachment 2212256
Imf waliosema hayo mwezi umepita,na kwamba tutakopa ili tuweke ruzuku,haijapita muda Kenya washakopa ruzuku imf..muwe mnafuatilia mambo!Huyu mama alianza kulazamisha ili swala muda mrefu utasikia vitu vitapanda bei nauli na kila kitu. Badala ya yeye kukemea upandishwaji hovyo wa bidhaa yeye ndio anabariki.
Serikali wanataka kutumia mwanya huu wa kupanda bei kwa mafuta kuongeza kodi na tozo kimya kimya ili wavune pesa
Kawekwa na Nani!!?Ni rais kivuli..hawezi kuendesha nchi hana maamuzi hayo..
Rimoti ya nchi ipo kwa wapiga dili..kawekwa hapo kama ushahidi tu.
#MaendeleoHayanaChama
Petro Yuko wapi?