Kauli mbaya uliyowahi kujibiwa na mpenzi wako wakati unamtongoza

Sio wote........ila kwa kiasi kikubwa na ukiunganisha doti utawajua ya kuwa ni Me au Ke..............!!
 
kuna sura zinajiuza zenyewe asa sisi machalii wa kaskazini. Raaaaah.
 
Mi niliambiwa mbona we mbona dogo sana... mi ctombw na watoto nikajililia akanipa chance, nkampangu, samak na kikaango
 
kumuapproach mwanamke yoyote ni process sio unakutana tu na mtu barabarani unakurupuka lazima ukutane na za uso,lazima ujenge mahusiano ya karibu kwanza kabla yakufikisha ujumbe wako na ukifanya hivyo hata kama utakataliwa lazima itafanyika kistaarabu.

Kweli kabisa.
 
Mimi kuna mmoja aliniandikia barua kwenye Toilet paper baada ya kumtongoza miaka kumi iliyopta tukiwa secondary sasa juzi nimeonana nae kwenye harusi ya cousin wake sikumsemesha sasa ikafika wakat Mc akasema sasa tunamkaribisha Mkurugenzi wa Kampuni anayofanya kazi bwana harusi aseme machache nikatoka mbele ...sasa toka siku hiyo sijui kapata wap namba yangu ananisumbua nimsamehe nimemueleza sasa nina mke na mtoto pole sana sitak usumbuf ila bado kakazana kutuma msg. ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom