Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,429
- 25,151
Mzalendo hakisi kwasababu akiongea anatoa macho kama anjisaidiaProf Kabudi ni mzalendo halisi!
Mzalendo hakisi kwasababu akiongea anatoa macho kama anjisaidiaProf Kabudi ni mzalendo halisi!
Huo si uzalendo bali ni fikra mfu za wana Pan-Africanism, na wasomi wa kale wenye kufikiri bado tuko miaka 1980s, ambapo ulipokuwa ukitoa hoja za namna hiyo unashangiliwa kuwa mjamaa wa kweli, mzalendo, mpinga ukoloni mamboleo na ubeberu...
Mawazo yako yanaweza kuwa sahihi katika mazingira flani lakini pia yanaweza yasiwe sahihi katika mazingira mengine.Ni upumbavu kuwaza eti itaondolewa au haitachaguliwa.
Kwani una uhakika gani sasa hivi imechaguliwa?
Pili ni nani anaiondoa serikali iwapo vikwazo vinawaathiri wananchi wa kawaida?
Nani mwananchi wa kawaida ana uwezo wa kuiondoa serikali?
Hao wenye uwezo wa kuiondoa ndio hao wanaofaidika na hata kidogo kilichopo.Hata nchi ikiwekewa vikwazo vigumu kiasi gani,hao wanaoiweka serikali madarakani hawatakosa mkate wala maji.
Unadhani wakifa wananchi wa kawaida ndipo kuna mtu atashituka?Kwa nini hamuangalii mifano ya nchi nyingine kama Zimbabwe?
Yule Mzee Mugabe hadi kaingia miaka 90 anatawala...jaribu kumpa wa kwetu hata 85 tu!
Nyinyi watetemekea wazungu naona mnapata tabu sana. Kwa taarifa yako mabeberu hawatutishi tutaendelea na utaifa wetu. Ujinga wenu na hao mabeberu yenu endeleeni nao huko huko siyo hata TZ.Nimesoma hizi kauli mbili kinzani kati ya Waziri wa nje wa Sweden na Waziri wa nje wa Tanzania akijibu hakika nimebaki mdomo wazi.
Kauli za Kabudi zimekosa diplomasia na zinaonyesha ubabe ambao kiukweli hatunao hasa katika ukweli tulio ambiwa na Waziri huyo wa Sweden au mwenyekiti wa kamati ya bunge la EU.
Jee kiburi hiki ambacho alipata kukionyesha Mugabe sie kitatusaidia au ndio mwanzo wa mateso? Hivi Kabudi anajua madhara ya kuiita kamati ya Bunge LA Ulaya hooligans?View attachment 1631932View attachment 1631933
Eti mtoa misaada hivi hujui kuwa wanachochukua kutoka kwetu ni zaidi ya hiyo misaada yao uchwara! Kwa taarifa yako wanarudisha mali zetu walizotuibia tangu wakati wa ukoloni.Mtoa misaada leo kageuka kuwa hooligan, hivi ni huyu huyu kabudi aliyejinasibu kutolewa jalalani?
Kwani wewe hizo pesa ni zako? Mbona mapovu sana kiasi mpaka unatukana wenzako. Kama zimekuuma sana jiue mkuu ukapumzike jehanamu!!Wacha upumbavu wako mwamba! Yaani mnaulizwa kuhusu pesa za watu nyie mnatoa minyoo yenu kichwani?
Slavery mentalityUnashabikia upumbavuuuuuu!!
Wewe dada vipi unataka ukaolewe na hao mabeberu. Ruksa wewe nenda tu mradi utuachie Tanzania yetu ikiwa salama.Huo si uzalendo bali ni fikra mfu za wana Pan-Africanism, na wasomi wa kale wenye kufikiri bado tuko miaka 1980s, ambapo ulipokuwa ukitoa hoja za namna hiyo unashangiliwa kuwa mjamaa wa kweli, mzalendo, mpinga ukoloni mamboleo na ubeberu.
Lakini atambue dunia imebadilika, huu siyo wakati wa kuishi kinadharia za akina Walter Rodney.
Viongozi wa Tanzania na mabalozi wetu wajikite zaidi kwenye diplomasia ya kiuchumi kwa kujenga mahusiano mazuri ya kikanda na kimataifa, kuvutia uwekezaji na kuweka mazingira bora ya kulinda biashara na mitaji ya wawekezaji wa nje na ndani, utawala bora, demokrasia, kulinda na kuheshimu haki za binadamu na Uhuru wa habari.
Elewa Prof. Kabudi amesema tuko tayari kushirikiana na nchi wanaoheshimu utu wetu siyo hao mabeberu wanaodharirisha utu wetu. Pia kumbuka si nyinyi tu vibaraka wa sasa hata zamani waliokuwepo vibaraka kama nyinyi na walisema maneno haya haya yenu ya sasa usifikiri kuna mabadiliko sana.Huo si uzalendo bali ni fikra mfu za wana Pan-Africanism, na wasomi wa kale wenye kufikiri bado tuko miaka 1980s, ambapo ulipokuwa ukitoa hoja za namna hiyo unashangiliwa kuwa mjamaa wa kweli, mzalendo, mpinga ukoloni mamboleo na ubeberu.
Lakini atambue dunia imebadilika, huu siyo wakati wa kuishi kinadharia za akina Walter Rodney.
Viongozi wa Tanzania na mabalozi wetu wajikite zaidi kwenye diplomasia ya kiuchumi kwa kujenga mahusiano mazuri ya kikanda na kimataifa, kuvutia uwekezaji na kuweka mazingira bora ya kulinda biashara na mitaji ya wawekezaji wa nje na ndani, utawala bora, demokrasia, kulinda na kuheshimu haki za binadamu na Uhuru wa habari.
Kabudi anaifedhehesha familia yake kwa kuendekeza ulimbukeniNi mtu mjinga tuu anaweza kusema haya. Tunaoifahamu vizuri Tanzania hii tokea early 1970's tunajua kabisa nchi haijapata kuwa na Waziri wa mambo ya nje bogus kama Kabudi
Wacha upumbavu mwamba, jibuni hoja za wazungu acheni kukimbilia kuwaita wahuni wakati wanahoji mambo ya msingi!Kwani wewe hizo pesa ni zako? Mbona mapovu sana kiasi mpaka unatukana wenzako. Kama zimekuuma sana jiue mkuu ukapumzike jehanamu!!
Waliwaibia mkiwa mnawakodolea mimacho tu, wee unaonekana kiazi sana.Eti mtoa misaada hivi hujui kuwa wanachochukua kutoka kwetu ni zaidi ya hiyo misaada yao uchwara! Kwa taarifa yako wanarudisha mali zetu walizotuibia tangu wakati wa ukoloni.
Bwege katika ubora wake!Waliwaibia mkiwa mnawakodolea mimacho tu, wee unaonekana kiazi sana.
HahahahahahahaaaaaaHakukosea aisee.View attachment 1631997
Hakuna mtu aliyeenda kuomba zile pesa zilikuwa zinaletwa na taasisi za UN. Na pesa zilikuwa za kupambana na Athari zinazotokana na Corona siyo kutibu Corona kwasababu Corona haina tiba. Nendeni mkawaeleze Mabwanaa zenu ujumbe huuNimesoma hizi kauli mbili kinzani kati ya Waziri wa nje wa Sweden na Waziri wa nje wa Tanzania akijibu hakika nimebaki mdomo wazi.
Kauli za Kabudi zimekosa diplomasia na zinaonyesha ubabe ambao kiukweli hatunao hasa katika ukweli tulio ambiwa na Waziri huyo wa Sweden au mwenyekiti wa kamati ya bunge la EU.
Jee kiburi hiki ambacho alipata kukionyesha Mugabe sie kitatusaidia au ndio mwanzo wa mateso? Hivi Kabudi anajua madhara ya kuiita kamati ya Bunge LA Ulaya hooligans?View attachment 1631932View attachment 1631933
Huyu mzee ametuharibia nchiWajibu ni kwa nchi yetu na si kwa serikali iliyopo madarakani!Kuwa mzalendo haina maana kuisupport serikali yako bali kuwa upande wa nchi yako!
Kama watanzania wenzetu wanauwawa,wanatekwa,wanateswa,wanapigwa risasi na kubambikiziwa kesi na serikali basi kuwa upande wa serikali sio uzalendo!
Kama nchi itawekewa vikwazo basi maisha yatakuwa magumu kwa wananchi na hapo serikali italazimika kufanya yafuatayo:
1.Itajirekebisha ili vikwazo viondolewe!
2.Itakomaa tu na kurisk kutochaguliwa au kuondolewa kwa nguvu baada ya maumivu kwa wananchi kutovumilika tena!
Either way,vikwazo ni njia mojawapo ya kumrudisha mtu kwenye track!Si tujiandae kupitia magumu mpaka utawala huu uishe!Mimi naona ni sawa tu maana walau tutateseka wote bila kujali uko chama gani!Sio kila siku wapinzani pekee ndio wanapitia mateso!
Reply