Kauli hizi huleta changamoto BUNGENI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hizi huleta changamoto BUNGENI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanyaraz, Jun 15, 2011.

 1. M

  Masanyaraz Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh. Alima mdee alipoanza kuchangia hoja kuhusu bajeti;namnukuu hatujaja kuuza sura hapa jingine kuwa na manjuka mwisho wa kunukuu,haya sasa maneno hayo yaliwachoma na kuwagusa wengi kiasi kwa mba mh kawawa akaomba mh mdee afute kauli hizo au kuzirekebisga,lakini kilichotokea alifafanua tu maana ya maneno hayo,nimetafakari binafsi sijapata jibu ndo maana nimelileta kwenu waungwana mnifungue ubongo.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Masanyaraz (umeme), Tatizo lako ni lipi? Unadhani hayo maneno hayafai kutumika au hujui maana yake? Lakini unasema Mdee alifafanua maana ya maneno hayo. Sasa kama Bunge limekubali ufafanuzi wake wewe unahoji nini?
   
 3. M

  Masanyaraz Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bunge halikumuunga mkono ndo mana mh kawawa alimcoment,kadhalika katibu wa bunge ila mh mdee akamwambia katibu tusipoteze muda kwa hili,nilichokua na wasiwasi macho ni kuhusu majibizano yatakayo endelea kutokea kuhusiana na misamiati kama hiyo kuendelea kutumika,sijui umenisoma ndugu!
   
 4. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kiswahili tu kinakua! unajua maana ya hili neno kwa mfano "Urazini" (Rationale). Sasa Mb. wa chadema akisema hivyo utasikia muuongozo wa spika au kuhusu utaratibu..... kanuni za kudumu za bunge kanuni ya 63 blaa blaaa! Maana wasipowakatiza hotuba zao ni moto mkali unawaunguza haswaa! Viva chadema, viva Halima Mdeee, Viva Zito kabwe, Viva Mnyika, Viva Tundu Lisu, Viva Kamanda wa anga Mbowe, Viva Dr Slaa, Viva Lema na wabunge wote wa chadema! Tuwapenda sana.
   
 5. M

  Masanyaraz Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NIMEIPENDA Hiyo mwanaharakati.
   
 6. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  tatzo bungeletu hv sasa limekosa muelekeo yaan limekosa uadilifu hvyo huwa hakunaga muelekeo mana viongozi wetu hawana jipya na ndo mana spika amesema bunge kama kariakoo. Wengi wabunge wetu ni mbumbumbu wa kanun-
   
 7. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kumbe nimegundua kuwa ccm cku hizi haina mwelekeo bungeni, kinacho fanyika ni chuda raha. wanakula vya mwisho make wamesutuka kesho si yao tena. Yaani wamekata tamaa kila kona, hoja hawana, no creativity, baya zaidi hawana habari kuwa mtaani maisha ni machungu muno. WAKUU NASHINDWA KUJUA TUNAFANYAJE KUMALIZA MACHUNGU YANAYO LIKABILI TAIFA.
  HUKU MITAANI WENYE VIJISENT TUNASUMBULIWA KUPIGWA MIKUKI(kuombwa). Yaani tunaombwa pesa ya kula mpaka tunabadilisha njia kukwepa ikuki.
   
 8. M

  Masanyaraz Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani inatulazimu tusiangushane 2015,kazi ni moja kumuangusha na kumsambaratisha huyu mdudu mnyonyaji aksanje NYANGE.
   
Loading...