Kauli hizi huleta changamoto BUNGENI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hizi huleta changamoto BUNGENI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanyaraz, Jun 16, 2011.

 1. M

  Masanyaraz Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh. Alima mdee alipoanza kuchangia hoja kuhusu bajeti;namnukuu hatujaja kuuza sura hapa jingine kuwa na manjuka mwisho wa kunukuu,haya sasa maneno hayo yaliwachoma na kuwagusa wengi kiasi kwa mba mh kawawa akaomba mh mdee afute kauli hizo au kuzirekebisga,lakini kilichotokea alifafanua tu maana ya maneno hayo,nimetafakari binafsi sijapata jibu ndo maana nimelileta kwenu waungwana mnifungue ubongo.
   
 2. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi nafikiri Halima alilenga kufikisha ujumbe kwa bi-kiroboto kwamba wao wapo kikazi zaidi na sio show off, pia sio wageni kwenye kanuni za bunge kama yeye bi-kiroboto na mbinu zake za kuwakandamiza
   
Loading...