Kauli hii ya Wilson Mukama...

Pole na kazi Ritz, nimefarijika sana leo kukutana na wewe katika uzi huu..
 
"Katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama,alishauri kufanyiwa marekebisho kwenye sheria ya vyama vya siasa namba 5 ya mwaka 1992 itakayoweka wazi shughuli ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Akisisitiza kuwa shughuli ya za siasa baada ya uchaguzi mkuu zihamie bungeni kwa wanasiasa kuhoji mipango ya maendeleo ya Serikali na matumizi ya rasilimali za nachi na wananchi waachwe wachape kazi zao za maendeleo" Mkama is very right, vinginevyo kazi zitafanyika saa ngapi kama mwaka mzima ni mikutano na maandamano tu?
 
285689_286469588121924_466398109_n.jpg
 
Mkama is very right, vinginevyo kazi zitafanyika saa ngapi kama mwaka mzima ni mikutano na maandamano tu?

Kwani hiyo mikutano hufanyika nchi nzima na kwa wakati mmoja??

Je, watanzania wote ikiwamo viongozi wa CCM pia wanahudhuria??

Je, wanaohudhuria hulazimishwa???

Woga wa nini???
 
mukama ni msaada mkubwa wa mabadiliko, naomba aendelee kuwa katibu wa CCM kwani yeye ndio atainua matanga ya chama hicho tutakapokizika rasmi,

mungu saidia magamba wasizinduke kuung'oa mzigo huu, ccm chini ya Mukama ni utelezi kwa CDM kuelekea 2015.
 
Mukama uwezo wake ni mdogo sana kwenye masuala ya utawala.

Yani Ritz unanifurahisha na koment zako za jana kuhusu police wa arusha na hii kuhusu mukama! Lakini hapo ndo viongozi wako walipofikia kwenye uwezo wa kufikiri! Anafikiri vyama vyote vya siasa vina wabunge! Such an i.d.i.o.t!
 
Last edited by a moderator:
Yoyote anayeunga mkono kauli ya mkama ni mgonjwa wa akili! Kuhudhuria mikutano ni moja ya majukumu ya mwananchi, unafikiri wananchi wanawezaje kuwa na informed decisions kwenye uchaguzi wasipojua sera na vyama vinavyoshiriki uchaguzi! Yani CCM mmeshindwa kutumia hoja kuithibiti chadema sasa mmeanza kufikiria kufuta haki za kiraia na kitatiba za wananchi kwa kutumia mfumo wa sheria! Shame on you!
 
Kuna kitu nakiona tangu jana toka kwa Ritz, kuna nini jamani ameamua kubadilika? Hongera zake maana Tanzania inahitaji watu wenye uwezo wa kubadilika na si wenye mawazo mgando kisa eti ni chama changu unashindwa kukosoa ukweli
 
Kwani Mukama anahucika nini mpaka maelezo yake yawemo..? Kweli ukitaka upoyoyo njoo Tanzania.. Utakutana na mapoyoyo wa kila aina..
 
coment za Mukama ndo ikawa recomendation ya kamati. Mtu kafa nyi mnataka kusiwe na mikutano. huwezi kumwambie mwanandoa asilale na ch.p. wkt unajua kazi yake inamlazimu asiwe na disturbance ya nguo
 
Back
Top Bottom