Katuni za Masoud

Kipanya ana kipaji cha kipekee kufikisha ujumbe kupitia katuni
 
uhalisia na takiwimu za kwenye spreadsheet ni vitu viwli tofauti.

kauli za anayepulizwa na kiyoyozi tangu aingiapo garini mpaka ofisini kwake na yule anayepigwa na jua huku akisaga soli ya kiatu/malapa kwenda kujitafutia chochote ni vitu viwli tofauti kabisa
 
Massoud anapoteza sifa ya katunist. Amekuwa ni kama chama cha Upinzani Ona hata anavyoargue issues asubuhi Amekuwa not reasonable. Yuko biased. Hawaulizi maswali magumu. Huwezi mwana akizungumza Upinzani kama mtangazaji. Ila uzuri anajua soko lake mnatakaje
 
Sasa mbona huyu kama mzungu, wapi na wapi na wafrika anaoandika masoud au ameona aweke mzungu asi..........................
Manaake sisi ni omba omba kwa wa zungu
 
hebu weka hata katuni moja inayo sifia utawala from around the world hasa hizi ambazo lengo lake ni kufichua aima fulani ya tatizo
 
Mie anaeniumiza kichwa ni james gayo...mwenye katuni za kingo duhh kuunganisha dots nako ni kazi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…