EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,705
JAMAA MKALI NOMA SANANi said Michael
Huyo saia wa tz ya viwonder
Angetafuta ndala tu aachane na hizi dundo
KWELI KABISA AISEEAngetafuta ndala tu aachane na hizi dundo
Kwa umri na matendo yake hivi haviwezi. Hata Sox za mwalimu zitampwaya.Angetafuta ndala tu aachane na hizi dundo
HAHAHAHAAAA UNATAFUTA KUTEKWA NA WASIOJULIKANA MKUUKwa umri na matendo yake hivi haviwezi. Hata Sox za mwalimu zitampwaya.
Lakini anavyo ng'ang'ania sasaKwa umri na matendo yake hivi haviwezi. Hata Sox za mwalimu zitampwaya.
ANATISHA SANA🙂🙂🙂creative
ACHA WOGA MKUUHahhha ahahah hapa unaweza jikuta mikononi mwa wasiojulikana, let me reserve my comment
ACHA WOGA MKUU
kweliHuyu kwa urais alikuwa hatoshi kabisa kutokana na ugonjwa wake wa sadist