Katuni ya Rais Magufuli by Gado

Huyu jamaa kiboko yaani mzee wa kaya kaacha kuwashughulikia watu wazito na mikoba minene imejaa pesa, ana deal na kidagaa aliemtusi jamaa anatisha sana.
 
Hii haijakamilika... Hebu tuwekee majina ya hao mapanya wakubwa ilituelewe
 
Huyu GADO ameshindwa kuchora katuni za nchi yao wakiuana sababu ya ukabila anaingilia mambo ya Tz yasiyo muhusu,hakika huyu ni wakula naye sahani moja labda asikanyage ardhi ya Tz.
 
Gado ni mtanzania sema nation media group ya Kenya ndo ilimulika kipaji chake na kumpaisha. Saiv yuko DW.
 
Huyu GADO ameshindwa kuchora katuni za nchi yao wakiuana sababu ya ukabila anaingilia mambo ya Tz yasiyo muhusu,hakika huyu ni wakula naye sahani moja labda asikanyage ardhi ya Tz.
ni mnyakyusa baba..
 
Kuna katuni alimchora mkuu wa kaya anaesha katapila nasikia ndio iliyompa zawadi ya mchora katuni bora DW.
 
Nguvu hizi ungeziweka kwenye maendeleo leo usingekuwa unatokwa povu hivi mana ungekuwa unafanya yako, ila ndiyo maisha umechagua live with it dude
 
hata mi ni mtaalam wa katuni, lakini sipendi kutumiwa kama huyu GADO. sipendi matatizo kwa nisiyoyajua pia na kumdhiaki mkuu wa nchi. gado uhuru wa habar bila sheria ni uwenda wazimu. poor gado

wewe ndio mchora kingo
 
Huyu GADO ameshindwa kuchora katuni za nchi yao wakiuana sababu ya ukabila anaingilia mambo ya Tz yasiyo muhusu,hakika huyu ni wakula naye sahani moja labda asikanyage ardhi ya Tz.
Gado ni MTANZANIA

May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…