Matope JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 892 Reaction score 686 Mar 20, 2011 #1 Jamani hii katuni kwenye gazeti la Mtanzania imenifurahisha sana,jamani mwenye uwezo wa kupost catoon hiyo atusaidie pls,
Jamani hii katuni kwenye gazeti la Mtanzania imenifurahisha sana,jamani mwenye uwezo wa kupost catoon hiyo atusaidie pls,
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Mar 20, 2011 #2 ????????????Lina patikana online hilo gazeti????
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,367 Reaction score 100,408 Mar 20, 2011 #3 Ni nzuri, jamaa kachimbiwa chini imebaki shingo, na shingo yenyewe imefungwa kamba mbili na zote zimefungwa mbali na yeye, halafu kando kuna jamaa anauliza, vipi mzee wa samaki???
Ni nzuri, jamaa kachimbiwa chini imebaki shingo, na shingo yenyewe imefungwa kamba mbili na zote zimefungwa mbali na yeye, halafu kando kuna jamaa anauliza, vipi mzee wa samaki???