Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 Apr 4, 2017 #3 Huyo mtoto ana bahati kuu! Sisi hakuna wa kutuokoa, twaafa!
20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,147 7,128 Apr 5, 2017 #4 Naisujaki Lekangai said: Huyo mtoto ana bahati kuu! Sisi hakuna wa kutuokoa, twaafa! Click to expand... Hahaha mkuuu umekosea kuicheki well. Hapo kuna maana mingi sana. 1.Adui yako, anaweza geuka msaada na kukuokoa. 2. Si kila naekupa msaada anafanya kwa wema, wengine watakulisha unawili ili uwape mavuno ya kutosha. Pata picha , kuku anaechinjwa home ni yule dhaifu aliyekonda au aliye nona. Mgonjwa akiachwa, au akipewa dawa si kwamba anapendwa bali watu wana buy sometime afikie viwango vya kumla vzuri.
Naisujaki Lekangai said: Huyo mtoto ana bahati kuu! Sisi hakuna wa kutuokoa, twaafa! Click to expand... Hahaha mkuuu umekosea kuicheki well. Hapo kuna maana mingi sana. 1.Adui yako, anaweza geuka msaada na kukuokoa. 2. Si kila naekupa msaada anafanya kwa wema, wengine watakulisha unawili ili uwape mavuno ya kutosha. Pata picha , kuku anaechinjwa home ni yule dhaifu aliyekonda au aliye nona. Mgonjwa akiachwa, au akipewa dawa si kwamba anapendwa bali watu wana buy sometime afikie viwango vya kumla vzuri.
sizonjemadawa JF-Expert Member Feb 11, 2017 1,053 1,304 Apr 5, 2017 #6 Tatizo linaweza kutatuliwa hata kwa njia usiyoitegemea Hata simba anaweza kuwa msaada
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Apr 6, 2017 #7 Adui yako anaweza kuigiza anakusaidia ili akumalize kabisa
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 42,007 73,288 Oct 15, 2021 #8 Everybody has his/her neighbor!