Katuni ya Gado yamchana chana Samia na CCM yake

Hii katuni ya Gado ni shughuli nzito. Picha ya Rais Samia imetupwa kwenye jalala na nafasi ya picha yake imetwaliwa na Mtawala wa Dubai.

Polisi pia hawakuachwa nyuma nao wamewekwa mfukoni mwa mwarabu huku wanasheria wakijaribu kujenga khoja bila mafanikio.

Kama hawajaielewa hii katuni basi wajiandae kuwakabidhi wapinzani Ikulu maana kazi si tu imewashinda bali pia hata HAWAIJUI ya kuwapeleka watanganyika Kaanani.

View attachment 2702782
Hizi takataka zenu hazitasaidia maendeleo ya nchi hii. Samia kanyaga twende tumechelewa sana utekelezaji uanze mara moja
 
Hii katuni ya Gado ni shughuli nzito. Picha ya Rais Samia imetupwa kwenye jalala na nafasi ya picha yake imetwaliwa na Mtawala wa Dubai.

Polisi pia hawakuachwa nyuma nao wamewekwa mfukoni mwa mwarabu huku wanasheria wakijaribu kujenga khoja bila mafanikio.

Kama hawajaielewa hii katuni basi wajiandae kuwakabidhi wapinzani Ikulu maana kazi si tu imewashinda bali pia hata HAWAIJUI ya kuwapeleka watanganyika Kaanani.

View attachment 2702782
GADO apewe maua yake!
 
anazungumza kwa maslai mapana ya nchi kuna mambo bado hamjaelewa
Yaani Kassim aliyeingia UDSM kwa mature age entry criteria leo awe na uwezo mkubwa wa kuelewa mambo kuliko vichwa akina Shivji, Slaa, Lissu, Mwabukusi?; Peleka makamasi huko.
 
Back
Top Bottom