Katuni ya Gado yamchana chana Samia na CCM yake

Katuni ya Gado yamchana chana Samia na CCM yake

Kauli na matendo yana mgongano wa kutisha


Huku unataka ushauriwe na huku unagangamala na misimamo yako
PSX_20230730_110811.jpg
PSX_20230730_110822.jpg


Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kipi kipya hapo?!!! Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ni mtoto wa mjini hawezi kuhangaishwa na maoni ya wenye njaa hao.
 
Babu ambacho hukutarajia vijana wa siku hizi wanajivunia kuwa CHAWA wa mama na huko uliko watabiria hawana nia au uwezo wa kupafikia.



View attachment 2702810
Huyu mzee nayeye chenga tu. Alituunganishaje na jamii ya waislamu ambao utumwa kwao upo kwenye DNA. Tazama sasa utumwa wao kwa waarabu wanauza nchi uliyoipigania kwa jasho na damu. Mzee katika issues za muungano nakuona wewe ni tatizo kabla ya Samia.
 
Maarabu anaangalia tu kinachoendelea.
Hii katuni ya Gado ni shughuli nzito. Picha ya Rais Samia imetupwa kwenye jalala na nafasi ya picha yake imetwaliwa na Mtawala wa Dubai.

Polisi pia hawakuachwa nyuma nao wamewekwa mfukoni mwa mwarabu huku wanasheria wakijaribu kujenga khoja bila mafanikio.

Kama hawajaielewa hii katuni basi wajiandae kuwakabidhi wapinzani Ikulu maana kazi si tu imewashinda bali pia hata HAWAIJUI ya kuwapeleka watanganyika Kaanani.






View attachment 2702782
IMG-20160615-WA0003.jpg
 
Gado ni mtanzania kwa msiomjua ni mtoto wa ostabey long time, kenya alienda kikazi tu ni mtoto wa mjini kwa waliozaliwa mkoani hawawezi kumfahamu, ameruka mbanga zote za kino hadi temeke, ndio maana hua anahisia sana na mambo ya nchi yake mambo ya kenya hayamuhusu sana
Tulikuwa wote Ruvu JKT Operation Kambarage
 
Back
Top Bottom