Katuni na ujumbe wake

Katuni na ujumbe wake

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,604
kinya12082015.jpg





Nilipoangalia hii katuni toka kwenye tovuti ya The Citizen, niliona haya yafuatayo:

1. EL ana political muscles zaidi ya Magufuli.
- Kikubwa kwa Magufuli kwa kadri ya picha ni kidevu tu.

2. Pamoja na ubaunsa wa EL, Magufuli haoneshi kuogopa.

Nawe waweza ona tofauti nyingine.
 
kinya12082015.jpg





Nilipoangalia hii katuni toka kwenye tovuti ya The Citizen, niliona haya yafuatayo:

1. EL ana political muscles zaidi ya Magufuli.
- Kikubwa kwa Magufuli kwa kadri ya picha ni kidevu tu.

2. Pamoja na ubaunsa wa EL, Magufuli haoneshi kuogopa.

Nawe waweza ona tofauti nyingine.

Magufuri ameshika tama hiyo tu ni ishara ya kuogopa
 
angalia iyo question mark, magufuri anajiuliza maswali bila kupata majibu, anabaki kushangaa kinachoendelea
 
Makufuri anawaza na kulaumu kwamba JK na kitengo wamwemwingiza cha kike.
 
Apo anawaza nitashinda kweli kupitia ccm, izo qn marks ziko za yellow kwenye duara la green
 
Anamshangaa jins anavyojitanua kwenye media,, lakn physically hana kitu
 
Magufuli amerelax!!anaangalia maigizo
 
El ni muigizaji wa luninga na media,
magufuli yupo kihalisia zaid
 
Hiyo iko hivi,

Makufuli amerelux akiamini El hana ujanja ndani ya kioo,while mwenzie ameanza kutoa mikono nje kwenye ulimwengu halisi.
 
Magufuli hashuhulishwi na misuli ya Edo pale anapoangalia weupe wa kichwani.

Lowasa amejiandaa hadi mwisho lakini Magufuli hahitaji maandalizi yoyote katika pambano la kitoto kama hili badoo amekaa.
 
Magufuli anamshangaa jamaa alivyo mbabe kwenye media anamsikitikia (mkono shavuni) atakapokuja kwenye ulimwengu wa uhalisia sasa
 
Back
Top Bottom