Katuni na mgomo wa madaktari

tembeleh2

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
765
165
Wana JF katuni hii ilitolewa na mchoraji Masoud Kipanya wakati wa mgomo uliopita wa madaktari, lakini sasa ni wakati muafaka wa kuendelea kutafakari ujumbe uliobebwa na katuni hii.
 

Attachments

  • kipanya_09_-_03_-_2012_20120309_1464501580.jpg
    kipanya_09_-_03_-_2012_20120309_1464501580.jpg
    35.4 KB · Views: 299
Bil.7 hizo lazima ziishe kabla ya budget ijayo. Mtu aumwi ili mradi kapangiwa kuwa atatibiwa ng`ambo anaamua kwenda kula bata huku wakiacha migogoro isiyoisha kwa ajili ya ubinafsi uliozidi kimo.
 
Halafu kuna wajinga wachache wanawalaumu madaktari.Hivi huwa siishi kuwaza watanzania tutaelimika lini?
Ujinga wa kudhani kila siku serikali iko sahihi utaisha lini?
Hivi mnajua kuchoka mie nimechoka mpaka ubongo maana sijui namna ya kusaidia watanzania hawa. iwish tungepata MaDr.Ulimboka kumi kila mkoa.
 
Yan kipanya ni noma sana nime mkubali.

Yan mtu hachoki kudhurura kila siku nchi ina matatizo mengi badala kuyatatua yeye anawaza kusafiri

dhaifu sana
 
Wana JF katuni hii ilitolewa na mchoraji Masoud Kipanya wakati wa mgomo uliopita wa madaktari, lakini sasa ni wakati muafaka wa kuendelea kutafakari ujumbe uliobebwa na katuni hii.

Kumbe Serikali ilijipanga kumuua DR Ulimboka kweli kipanya kiliona mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom